ahaha!kaka angu umetishaa!!yaani mpaka umezuiliwa??khaaa!!!
Chinga One fanya uweke link ya mtv hapo juu
Tusisahau Kuendelea Ku vote for Diamond Platnumz
Na
Vanessa Mdee
On MTV BASE MUSIC AWARDS
Diamond Platnumz yupo ktk category 3
Best Male
Best Collaboration
Best Live
V money yupo
Best female Artist
Let's kip our national flag flying higher
You can vote here
MAMA 2015
Nishapiga kura wakuu,
Naweza kurudia kupiga?
Umepiga mara 20 kila kipengele Mkuu? Kama umepiga mara moja moja piga mara 20 kila siku!
hahahaaa, Sawa mkuu
ngoja nipige tuu maana sina namna, nataka nivute tuzo nyumbani
tayari mkuu link iko hapo juu mimi nimesha piga kura category zote tatu.
Ukishapiga ukaandikiwa hivyo una_cancel na kupiga tena.Ni mpaka mara 20 kwenye category moja kwa siku.Unaweza kupiga kila siku....Hata mimi napiga lkn najibiwa "THANK YOU FOR VOTE" nshapiga ka mara 30 lkn cpewi final limit.. hebu wana team nsaidien hapo njue wapi nakoxea plz!!
Hata mimi napiga lkn najibiwa "THANK YOU FOR VOTE" nshapiga ka mara 30 lkn cpewi final limit.. hebu wana team nsaidien hapo njue wapi nakoxea plz!!
Asanteni xana axee ngoja niendelee na kazi ya kuvote tu%diamond %v money
Nimeshampatia Bwamdogo Chibu kura zake 60 na bi Mdee kura zake 20.
Tungoje tena kesho.
Ko hii voting... Unaruhusiwa ku vote kila siku??
kila siku,, na unaruhusiwa kupiga kura mara 20 kila kipengele,,,,, lazima tuwanyooshe tar 18 mwezi ujao tuzo zinatolewa