Hahahaaaa puuzeni kwani mliitwa. Ndo mtulie kwenye uzi wenu.
Nina kaombi kadogo iv kwanini tusiache kujihusisha na hizi nyuzi zinazopinga kumpigia mondi kura yaan tunapta kimya no kuchangia wala nini maana tunavobisha ndo uzi unasambaa zaidi alafu haina haja hata ya kustuka wanaokomalia hii issue hawazidi watu watatu mpk watano kwa kifupi hawawezi kuzuia hii kitu let us ignore them yaan ingekua poa sana aiseee nawasilisha.
mods wamehamishia uzi huku ili tuje tuwamalize+Naungana na wewe mkuu me jana nimemaliza energy kuwaelewesha kumbe nikagundua najisumbua tu kuna watu km watano wameshikilia hii inshu wanawaingiza kwenye mkumbo na wengine ambao ni wazembe kufikiri.
+tuendelee kuvote tu wakuu, hata kama akikosa nomination tu inatosha kuthibitisha Dai ni mkali Africa
hovyo kabisaHuu uzi uwe maalum kwa watu wote wenye mapenzi mema na wanaomtakia mafanikio kimuziki na kimaisha kijana Naseeb Abdul "Chibu Dangote".
Wenye kutaka kumshauri na kumtia moyo kijana aendelee kupaa na kuiwakilisha Tanzania kimuziki basi mnakaribishwa hapa mje mtoe maoni yenu kwa management na team Diamond kwa ujumla wapi wanakosea wapi waongeze juhudi wapi wajirekebishe ili kijana aendelee kua "the baddest musician" in Tanzania na East Africa kwa ujumla.
Kukosoa pia ni ruksa kwani no body is perfect.
Wale jirani wenye chuki,wivu na roho mbaya kwa vijana wenzao wanao onyesha mafanikio pia wana karibishwa humu ndani kutoa changamoto,kukejeri,kudharau na kutukana pia mnaruhusiwa kama mna akili timamu.
Karibuni sana wadau.
======================
Updates
Msanii diamond kachagulia kwenye kinyang'nyiro cha tuzo wa Mtv African Music Awards (MAMA2015) kwenye category tatu ambazo ni
1.Best Male
2.Best Live
3.Best collaboration
Jinsi ya kupiga kura click MAMA 2015
unacho takiwa kufanya ni
◆ kuclick sign up then utapewa optin ya kuingiza facebook akaunti yako,email address au akaunti yako ya tweeter. baada ya hapo utakuwa ume jisajiri kupiga kura.
◆ chagua category tajwa hapo juu,utakutana na picha,jina la msanii na nchi anayotoka click neno 'vote' utaletewa ujumbe kua umesha mpigia kura msanii wako diamond
◆note:kwenye huo ujumbe kwa juu kuna alama ya x,bofya alama hiyo ili kuweza kurudia tena kumpigia kura msanii wako.
◆Pia usisahau kunpigia kura msanii wa kike Vannesa Mdee ambae yeye yupo kwenye category ya "Best female"
◆Unaweza kupiga kura mara ishirini kwa siku.(tumia app ya google chrome au browser,kwa sasa opera mini inasumbua)
Tanzania ikisema "Yes" nani wa kupinga..???
DIAMOND FOR TANZANIA.
Kwa maelezo zaidiBonyeza hapa MAMA 2015
Wait and see hz ni changamoto za kawaid tu kwa diamo na sisi mashabk wake.. vitu vzur vinakuja na bdo! vote for diamond n v-money: mama.mtv.com/voting/
vote for davido+Naungana na wewe mkuu me jana nimemaliza energy kuwaelewesha kumbe nikagundua najisumbua tu kuna watu km watano wameshikilia hii inshu wanawaingiza kwenye mkumbo na wengine ambao ni wazembe kufikiri.
+tuendelee kuvote tu wakuu, hata kama akikosa nomination tu inatosha kuthibitisha Dai ni mkali Africa
vote for davidoNimeshampigia mara kadhaa na naendelea pia...
Hizi chuki zoooote kisa dai hapigi tena pale kwa boss wenu bila shaka poleni
Hahahahahahahaha×100...umenifurahisha sanaaa..
hovyo kabisa
Hizi chuki zoooote kisa dai hapigi tena pale kwa boss wenu bila shaka poleni
Pigeni kura kwa kufuata maelekezo kwenye hii picha.
Ha ha ha ha thubutuuuuuu dai sio EX shemeji angu mie, ni mwazamuzikiPigeni kura kwa kufuata maelekezo kwenye hii picha.
+Naungana na wewe mkuu me jana nimemaliza energy kuwaelewesha kumbe nikagundua najisumbua tu kuna watu km watano wameshikilia hii inshu wanawaingiza kwenye mkumbo na wengine ambao ni wazembe kufikiri.
+tuendelee kuvote tu wakuu, hata kama akikosa nomination tu inatosha kuthibitisha Dai ni mkali Africa