BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Tehe teheeee utaelewa tuu.
Duniani wapi wasipomjua kiba?
VOTE FOR DAVIDO.
Yaani nikiingia huko IG nasikia raha sana team wema team kidoti team ivan team kiba wote ni mwendo wa vote for davido.
Shobo tu et Ivan hahaha. Dah wanawake mnakazi kweli .... ingieni ligi kuu basi msimu ujao wa Vodacom