BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Na mm nimeshasign up na email nimepiga mpaka simu imetaka kutoboka screen
Haha angalia 2 isipate moto ikachemka" lext vote email nikuvote tani yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mm nimeshasign up na email nimepiga mpaka simu imetaka kutoboka screen
Haha angalia 2 isipate moto ikachemka" lext vote email nikuvote tani yako
Jamani napiga kura ili siambiwi kama nimefika kikomo
Nimebugi step nini?
Mwanzo mwisho ni kuvote tu wanigeria wacha waendelee kuvote kwa watu wao
cha ajabu hadi wakenya wanatusapoti pia

Ata m nimepiga kwa email naona haina mwisho unapiga tu
Tutazibeba tu we subiri kama tuliweza zile tatu kwa nn hizi isiwezekane
Nimekupenda bure Dada Heaven on Earth
eti dada samahani lakini...
thread mbona ziko nyingi hebu changieni thread moja tu.
loohh minyuzi yote hiyo ndo mmepagawa au..?
cha ajabu hadi wakenya wanatusapoti pia
Jadili content ya thread tafadhali.
eti dada samahani lakini...
thread mbona ziko nyingi hebu changieni thread moja tu.
loohh minyuzi yote hiyo ndo mmepagawa au..?
correction.. am a guy plus reply me in English[/QUOte
tatizo mashauzi yamewazidii sana nyie negro..na bardow ndimu zimewageukia!!! na tuzo hampati ng'ooo