Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Kwema waungwana??msione kimya mi niko busy napiga kura tu asubuhi,mchana na jioni,sina kingine zaidi ya kuvote!jioni njema waungwana
 
Haloooo ya uzalendo.
 
Attachments

  • 1434386480973.jpg
    1434386480973.jpg
    30.5 KB · Views: 126
Eti wema, jokate na kiba wameziambia team zao wawapigie kura davido na wengine against chibu, watajaribu lakini watashindwa tu
 
Kwema waungwana??msione kimya mi niko busy napiga kura tu asubuhi,mchana na jioni,sina kingine zaidi ya kuvote!jioni njema waungwana

Ni vyema na Haki. Mimi nimepiga kura leo mchana mpaka nikasinzia hapo hapo, ndio nashtuka mida hii. Na kesho kama kawa.
 
Eti wema, jokate na kiba wameziambia team zao wawapigie kura davido na wengine against chibu, watajaribu lakini watashindwa tu

Hii kitu nikiangalia badae inaweza ikawacost wao wenyewe. WEMA na Jokate ni macelebrity, any day any time zinaweza ikatokea wakawa nominated kwenye tuzo fulani hapa Afrika... Anyway nisiendelee lakini naamini mshajua kitakachofuata.
 
Ni vyema na Haki. Mimi nimepiga kura leo mchana mpaka nikasinzia hapo hapo, ndio nashtuka mida hii. Na kesho kama kawa.

Hakika kwa pamoja tutashinda!Idrissa Sultan ameonyesha uzalendo wa hali ya juu kwenye account yake instagram,sunday mjeda pia,zamaradi mketema,kabula,agginess masogange,norah,Vanessa mdee,jux,dida shaibu na wengine weeeengi kwa umoja wao wameonyesha upendo kwetu

Family ya WCB tunaomba fans na wazalendo wote wa diamond na tanzania kupeperusha bendera yetu vyema!!sababu na uwezo wa kushinda tunao.Harakati ziendelee.
 
Wengine chuki tu kwa kuwa anakubalika d vita mbele ww ongeza juhudi wa muziki wako
 
Jamani napiga kura ili siambiwi kama nimefika kikomo

Nimebugi step nini?
 
Ndo ivo wadau...hapa mgroup ya whtsup leo hkuna...dai v..money...saut solo kidoooogo kwngu aka nmkubali ila cio sana
 
Back
Top Bottom