Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siwezi mtaman domo kamwili kenyew cha panzi mim nimpeleke wapi
Kwema waungwana??msione kimya mi niko busy napiga kura tu asubuhi,mchana na jioni,sina kingine zaidi ya kuvote!jioni njema waungwana
Mimi siwezi mtaman domo kamwili kenyew cha panzi mim nimpeleke wapi
Eti wema, jokate na kiba wameziambia team zao wawapigie kura davido na wengine against chibu, watajaribu lakini watashindwa tu
Oooh ngoja kesho nianze ku votee....
Anajitahidi sana Chibu... Anawakilisha vyema TZ
Ni vyema na Haki. Mimi nimepiga kura leo mchana mpaka nikasinzia hapo hapo, ndio nashtuka mida hii. Na kesho kama kawa.
Oya... Sankoro.
Kama ronaldo
Jamani napiga kura ili siambiwi kama nimefika kikomo
Nimebugi step nini?
+Mkuu umepigia email nini maana nasikia ukipigia email unapiga bila kikomo
Ata m nimepiga kwa email naona haina mwisho unapiga tu