Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,147
Wanaongea ujiunga mtupu. Aisee Dada yangu tupeleke wanetu shule wasiwe wajinga kama huyu mppuuzi anayemuonya diaomond eti aangalie mwenendo wakeHivi kila mtu diamond "anatudharau anatudharau mara anatuzalilisha" anawadharau kivipi wakati hata hajui viumbe kama nyie mpo hebu mmuache alee mimba jamani na aenjoy mafanikio yake heeeeee wivu ukifikia stage hii unakua uchawi

