Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hivi kila mtu diamond "anatudharau anatudharau mara anatuzalilisha" anawadharau kivipi wakati hata hajui viumbe kama nyie mpo hebu mmuache alee mimba jamani na aenjoy mafanikio yake heeeeee wivu ukifikia stage hii unakua uchawi
Wanaongea ujiunga mtupu. Aisee Dada yangu tupeleke wanetu shule wasiwe wajinga kama huyu mppuuzi anayemuonya diaomond eti aangalie mwenendo wake
 

Attachments

  • 1434655841362.jpg
    33.1 KB · Views: 114
katika kile kinachoonesha kuchukizwa na diss za baadh ya mashabiki diamond alimjibu mmoja wao hivi
 

Attachments

  • 1434724812967.jpg
    31.2 KB · Views: 269
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…