Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Mmmmmh!!! Hili suala mie huwa sipendi kuliongelea sana maana wababa nao wamezidi jamani, wamebaki kuwa sperm doners tu na kutelekeza watoto, wakishakuwa na mafanikio ndio wanakumbuka eti "ooooh mwanangu"

Ila vitabu vya dini vinatushauri kusamehe na kusahau, japo kusahau ni ngumu, hili tuwaachie walimalize kifamilia mpendwa, ya ngoswe haya kwakweli.
 
Una uhakika gani kama yule ndo baba ake mzazi? ulikuwepo kumshikia mguu wakati hizo sperm zinapandwa? shobo mbayaaa
 
Mbona dingi ananguvu kabisa huyo,tumchangie kwa lipi??

Hana upungufu wowote,afanye kazi

Labda kama anatatizo lolote ambalo hujalizungumzia,lakin kama yuko gani aingie mzigon tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…