Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Matola usisahau kunikumbusha siku ya kuwasilisha iyo michango.
Na mimi nitatoa laki moja
 
Last edited by a moderator:
Kupitia thread hii napenda kuwaasa wanaume wenzangu tuwe makini na kuzaa zaa hovyo bila mpango kiasi cha kushindwa kutoa malezi mema kwa watoto kiasi cha kuwafanya waishi na tabia za ki mbwa ukubwani...
 
Watu wenye huruma juu ya Diamond na pesa mnazotoa hata harusini hampewi kadi labda kwenye sherehe za vigodoro mungepewa. Sasa kwa hili kumuonyesha mnazo ungeanzia millioni moja kwenda juu au tatu ile ya kiingilio kuonyesha hata waliolipia Zari's white party wasaidie nao hata zaidi.

Badili kiasi hicho toeni toka ma millioni mpigieni simu babaake aje achukue na tafuteni mapaparazi wawaandike wasamaria wema wenye upenzi wa kiwivu na roho za kutu.

Hapo nitawapigia na vigelegele kijana munayempenda hadi mnataka kufwa.


Kwa utumbo huu ulioandika si bure ulijikamua mpaka ukatoka unga ukaingia zari white party!!!

Ngozi nyeusi inalaana.
 
Hebu rudi hapa, Samira nimeshampeleka International school of Tanganyika kwa hiyo nimejirekebisha ni matumaini yangu Billionare Dangote wetu naye atajirekebisha na kuanza kumtumza baba yake.

Ukitaka kumuona.Samira njoo kesho Masaki golf course utamuona anacheza tennis.

Kumbe ilikua kweli..

Samira yuko grade gani??
 
Kwa utumbo huu ulioandika si bure ulijikamua mpaka ukatoka unga ukaingia zari white party!!!

Ngozi nyeusi inalaana.

Tena ulinisaidia kujikamua na laana ya ngozi yako, toa pesa si umeambiwa uchangie toa toa mamillioni kumuonyesha zake hazitumii vizuri shida wapi hapoooooo na utumbo uutoe.
 
Nikimaliza kumsaidia baba yangu na mama yangu, wadogo zangu, wajomba, mamdogos,bamdogos, mashangazi, binamus, wapwa, babake Shosti angu, watoto wa shule wa kijijini kwetu, majirani wema wenye shida, then nitafikiria kuhusu huyo baba wa billionaire
 
Duh muziki kumshusha umeshindwa sasa kuingilia ya wazazi, na mzazi huyo juzi alisema yupo poa na mwanae na magazeti yanaandika uongo.

Sasa wewe ni nani kutunga na kusahau ulipotoka panapotia huruma, matatizo yamejaaa unasaka kutia aibu kijana wa watu kwa uongo na habari za kale.

Kwani nani hajui baba yake alimtelekeza akiwa mdogo na kumtafuta aliposikia anapaa kimuziki, wivu wenu mbaya angalia yako kwanza mmezidi khaaaa.

Eti Zari hamjui, vinakuhusu nini mapenzi na maisha yao. Mapenzi yako yanaelekea mabaya sanaaaaaa duh wivu

Nimesha shuhudia interview tena mwaka jana Diamond alisema kuwa alisha msamehe baba yake wako poa na huwa wana saidiana sana tuu!
 
Diamond Platnumz kweli upo juu yaani wanaacha kuchangisha za mfalme ajipatie nyumba yake aishi bila mawazuuuu, wanakufikiria wewe kila dakika ooh kijana upo juu hakunaga kabisaaaaaa.

Haya wananchi bila kusahau wanaompenda rohoni na kwenye kuandika wanamkandia tumpigie kura za tuzo za MTV Africa awards

Kupitia link hii

http://mama.mtv.com/voting/

View attachment 262151
 
Tuh tuh tuh tuh tuh tuh
 

Attachments

  • wp_ss_20150620_0005.png
    wp_ss_20150620_0005.png
    64.1 KB · Views: 138
Kwanza hizi habari za kusema Diamond kamtelekeza baba yake ni za magazeti tuu!
Diamond alisha hojiwa na akasema alisha msamehe baba yake na huwa ana msaidia tuu!

Magazeti ya Udaku yanasomwa na watu wa low class, hapa nawazungumzia wa mama wa nyumbani wasiokuwa na shule, house keepers, na wengineo. Watu kama hawa hawana uwezo wa kuisoma habari na kuipembua lakini wanaimeza kama ilivyo. Sijadhamiria kuwadharau as long as wanalipa pesa basi biashara yetu pale GPL inaendelea na kukua. Haya magazeti yamefanikiwa sana kutengeneza negative image kwa mastar walio wengi but Only to fools. Sijui nia yao ninini haswa ila nadhani wana nia nzuri tu yakukuza biashara yao kwa kutambua kuwa Wabongo tunapenda umbea, fitina na majungu. Let them do the best as they can but they only win Fools mind.

Tukija kwako Matola kama baba wa watu hajakuomba msaada basi punguza shobo mkondombwe lol! Kule jukwaa la Elimu kuna mkaka kaomba msaada ili andelee na masomo please nenda kachangishe watu mtoe msaada.
 
Last edited by a moderator:
Hizo pesa SI Una ndugu zako uwachangishieee uwape au ndugu zako wote matajirii

Huyo Baba hakumlea Daimond so jali yako
Mbona wewe umemtelekeza Samira SI umleee ndio matokeo hayo angalia usije kua kama huyo babaa

Kwa hiyo ni sawa kumuadhibu baba mgonjwa kwasababu hakumlea?
 
Hivi huyu mleta mada ni mwanaume au mwanamke???
Halafu inaonesha hana adabu, unawezaje kuja kumzalilsha mzazi wa mwenzio hapa wakat hajaomba msaada!!
...kingine, umemjua diamond kupitia mziki, masuala ya kufatilia maisha yake yanatoka wap???.....yako ushayamaliza au???
Masuala ya ki'team yasikuvue nguo kiasi hiki bhana..
 
Magazeti ya Udaku yanasomwa na watu wa low class, hapa nawazungumzia wa mama wa nyumbani wasiokuwa na shule, house keepers, na wengineo. Watu kama hawa hawana uwezo wa kuisoma habari na kuipembua lakini wanaimeza kama ilivyo. Sijadhamiria kuwadharau as long as wanalipa pesa basi biashara yetu pale GPL inaendelea na kukua. Haya magazeti yamefanikiwa sana kutengeneza negative image kwa mastar walio wengi but Only to fools. Sijui nia yao ninini haswa ila nadhani wana nia nzuri tu yakukuza biashara yao kwa kutambua kuwa Wabongo tunapenda umbea, fitina na majungu. Let's them do the best as they can but they only win Fools mind.

Tukija kwako Matola kama baba wa watu hajakuomba msaada basi punguza shobo mkondombwe lol! Kule jukwaa la Elimu kuna mkaka kaomba msaada ili andelee na masomo please nenda kachangishe watu mtoe msaada.

Hii thread lengo ni kumdhalilisha Diamond wala si kumhurumia mtu yeyote hapa! Global kumchafua Diamond ndio kazi yao na wala Diamond hawezi kufanya haya...!Global wajinga sana..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom