Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wenye huruma juu ya Diamond na pesa mnazotoa hata harusini hampewi kadi labda kwenye sherehe za vigodoro mungepewa. Sasa kwa hili kumuonyesha mnazo ungeanzia millioni moja kwenda juu au tatu ile ya kiingilio kuonyesha hata waliolipia Zari's white party wasaidie nao hata zaidi.
Badili kiasi hicho toeni toka ma millioni mpigieni simu babaake aje achukue na tafuteni mapaparazi wawaandike wasamaria wema wenye upenzi wa kiwivu na roho za kutu.
Hapo nitawapigia na vigelegele kijana munayempenda hadi mnataka kufwa.
Hebu rudi hapa, Samira nimeshampeleka International school of Tanganyika kwa hiyo nimejirekebisha ni matumaini yangu Billionare Dangote wetu naye atajirekebisha na kuanza kumtumza baba yake.
Ukitaka kumuona.Samira njoo kesho Masaki golf course utamuona anacheza tennis.
Kwa utumbo huu ulioandika si bure ulijikamua mpaka ukatoka unga ukaingia zari white party!!!
Ngozi nyeusi inalaana.
Kumbe ilikua kweli..
Samira yuko grade gani??
Duh muziki kumshusha umeshindwa sasa kuingilia ya wazazi, na mzazi huyo juzi alisema yupo poa na mwanae na magazeti yanaandika uongo.
Sasa wewe ni nani kutunga na kusahau ulipotoka panapotia huruma, matatizo yamejaaa unasaka kutia aibu kijana wa watu kwa uongo na habari za kale.
Kwani nani hajui baba yake alimtelekeza akiwa mdogo na kumtafuta aliposikia anapaa kimuziki, wivu wenu mbaya angalia yako kwanza mmezidi khaaaa.
Eti Zari hamjui, vinakuhusu nini mapenzi na maisha yao. Mapenzi yako yanaelekea mabaya sanaaaaaa duh wivu
Nimesha shuhudia interview tena mwaka jana Diamond alisema kuwa alisha msamehe baba yake wako poa na huwa wana saidiana sana tuu!
kwa uaminifu weka hapa Tu hiyo video au link
Kwanza hizi habari za kusema Diamond kamtelekeza baba yake ni za magazeti tuu!
Diamond alisha hojiwa na akasema alisha msamehe baba yake na huwa ana msaidia tuu!
Hizo pesa SI Una ndugu zako uwachangishieee uwape au ndugu zako wote matajirii
Huyo Baba hakumlea Daimond so jali yako
Mbona wewe umemtelekeza Samira SI umleee ndio matokeo hayo angalia usije kua kama huyo babaa
Kwa hiyo ni sawa kumuadhibu baba mgonjwa kwasababu hakumlea?
Kwa hiyo ni sawa kumuadhibu baba mgonjwa kwasababu hakumlea?
Magazeti ya Udaku yanasomwa na watu wa low class, hapa nawazungumzia wa mama wa nyumbani wasiokuwa na shule, house keepers, na wengineo. Watu kama hawa hawana uwezo wa kuisoma habari na kuipembua lakini wanaimeza kama ilivyo. Sijadhamiria kuwadharau as long as wanalipa pesa basi biashara yetu pale GPL inaendelea na kukua. Haya magazeti yamefanikiwa sana kutengeneza negative image kwa mastar walio wengi but Only to fools. Sijui nia yao ninini haswa ila nadhani wana nia nzuri tu yakukuza biashara yao kwa kutambua kuwa Wabongo tunapenda umbea, fitina na majungu. Let's them do the best as they can but they only win Fools mind.
Tukija kwako Matola kama baba wa watu hajakuomba msaada basi punguza shobo mkondombwe lol! Kule jukwaa la Elimu kuna mkaka kaomba msaada ili andelee na masomo please nenda kachangishe watu mtoe msaada.