Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hizo pesa SI Una ndugu zako uwachangishieee uwape au ndugu zako wote matajirii

Huyo Baba hakumlea Daimond so jali yako
Mbona wewe umemtelekeza Samira SI umleee ndio matokeo hayo angalia usije kua kama huyo babaa

Samira namlea mimi sasaivi hata matola piq namlea mimi
 
Una uhakika gani kama yule ndo baba ake mzazi? ulikuwepo kumshikia mguu wakati hizo sperm zinapandwa? shobo mbayaaa

Wewe una uhakika gani kama Baba yako hajapakaziwa mimba yako na mama'ko? Kiherehere tu.
 
apite hiviii, asijitokeze zamani alivyoskia daimond anaanza mziki sahivi kajibebea mzigo wa misumari huku ana kipara ndo ajifanye anamhitaji!!! wanaume wengine wajifunze
 
Pesa uliyokwiba kwa baba wa kambo aliyekulea usharudishaga?

View attachment 262195
 
Pesa uliyokwiba kwa baba wa kambo aliyekulea usharudishaga?

View attachment 262195

Nimesharudisha na riba ya millioni nyingi tu. Harafu unaona hapo kwenye picha Baba Samira nilivyo handsome? Chezea Matola wewe?

Haya sasa turudi kwenye mada, fanyeni mchakato mimi pesa niliyoahidi niko tayari kuitoa hata leo hii cash, na Mrembo by Nature tayari ameshanijurisha kwa njia ya simu nitaupataje mchango wake kwa hapa Dar anazo resource nyingi tu kwahiyo hakuna haja ya kuangaika na western union au money gram. Tuwajari baba zetu no matter what.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa kuuwa soo tu sikuwezi...Unaifanya kama ni jokes vile hahah
 
Mkuu kwa kuuwa soo tu sikuwezi...Unaifanya kama ni jokes vile hahah

Aliyekwambia nafanya jokes ni nani? Au mnataka niishi vipi?

Nimeshakubari yote kwamba;
1. Mimi Matola ndio Baba Samira
2. Naishi na baba wa Kambo
3. Hiyo picha ndio picha yangu halisi mimi Matola.
4. Na jina langu halisi mnalifahamu, sasa tabu iko wapi?
5. Pesa nilizokwiba kwa baba wa kambo nimerudisha zote na riba juu.

Haya nieleze wewe basi namna ya kuishi maana inaonekana kuishi kwangu ni kero kwako.
 
Mambo mengne yabaki kua fundisho kwa wababa wengne. Sitoi hata senti.
 
Ntakujibu nkishafturu...

Yesu alishatuonya tusiwe kama wafanyavyo wanafki, tunapofunga hatupaswi mtu mwingine kujuwa tena asubuhi tunatakiwa tupake midomo yetu mafuta ili ing'are maana funga yako ni kati yako wewe na Mungu wako.

Nasikitika sana mwezi huu wengi wanajitesa kushinda njaa tu watu wanaofunga hasa ni wachache mno.
 
Mambo mengne yabaki kua fundisho kwa wababa wengne. Sitoi hata senti.

Unahisi vipi kama huyu Baba angemshawishi mama Nasib kutowa hii mimba iliyomzaa Diamond? Au angempa madawa kwa trick bila mama Nasib kujuwa ambayo yangeharibu mimba iliyomzaa Nasib? Au hujui wanaume wengi wamewafanyia haya wanawake? Kuna mpemba mmoja huwa anapenda kusema umaskini ni nusu ya ukafir, je hamuoni huyu baba yake Diamond ulofa ndio ulimsababishia yote haya?
 

Mkuu inaonekana umepata malezi bora kutoka kwa baba hongera sana wale waliokosa wanajua uchungu wake.

Kuna watoto baba wanamjua lakini hana muda nao. Hajawahi hata kununua pensel ya mtoto na wakati mwingine utakuta kuna wengine wako nyumba nyingine anawajali vizuri tu. Kwa mtoto yoyote lazima aweke kinyongo cha maisha hapo.

Wababa tukumbushane tu Mtoto hasahau baya unalomfanyia na hawezi kukuchukia kwa kusikia kuna kitu ulimfanyia tu.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…