UDSM Alumni
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 2,530
- 1,370
Hivi huyu jamaa si mwanaume huyu? No wonder hata aliowaita kwenye post yake ni wale ambao anaamini amefanana nao kimawazo! Katika maisha ya kawaida, ni sawa na mwanaume unawaita wanawake ili mjadili kuhusu jambo fulani. AIBU!Baba ni baba tu hata kama mtoto amelewa umaarufu na mashabiki wake nao mmejisahau lakini kumbukeni hata sperm donor anayo nafasi yake kwa huyo kijana wake.
Nachukuwa fursa hii mimi kama mtani wenu ninatoa taslim Tshillings 50,000/= tu ili tuanzishe harambee ya kumsaidia pesa za kujikimu Baba mzazi wa Nasibu Billionare Dangote Platinumz kwani ana uhitaji mkubwa wa msaada na mtoto wake hana time naye amekosa kujifunza hata busara za mzee Badiba za Forgive and forget.
Naomba Team Diamond mratibu michango hii namna ya kuikusanya na mimi Cash yangu nitaikabidhi kwa uongozi wa JF.
Kiroho safi onesha uzalendo sambaza upendo siyo virusi..
Huyu ndio Baba mzazi wa Billionare Diamond Platnumz. Sharing is caring.
Cc Mrembo by Nature atoto Diva Beyonce Ms.Lincoln
Aibu kweli hii. Yaani dume zima unaenda kuleta magazeti ya Shigongo ili kukazia haja yako! Hivi unajisikiaje mwanaume mzima unapokomalia maisha ya mwanaume mwenzako ambayo wakati wote source yako ni magazeti ya udaku?Data wakumuuliza swali hilo ni Diamond na siyo mimi.
BABA MZAZI WA DIAMOND PLATNUMZ ALALAMIKA KUKOSA MSAADA WA MATIBABU.
BABA wa msanii Nasibu Abdul Diamond, Abdul Juma yupo hoi akisumbuliwa na ugonjwa wa miguu.
Kwa mujibu wa chanzo makini, Baba Diamond anasumbuliwa na tatizo la miguu kuvimba hali ambayo imemfanya ashindwe kutembea lakini cha kushangaza mwanaye, Diamond hajaenda kumjulia hali.
Baba Diamond ni mgonjwa kwa muda mrefu sana lakini Diamond hajawahi kuja kumuona hata siku moja,-kilisema chanzo hicho.
Baada ya kuzinyaka habari hizo, waandishi -wa habari hizi walifunga safari mpaka nyumbani kwa mzee huyo, Magomeni-Kagera, jijini Dar ambapo alikiri kuugua kwa muda mrefu na kukosa msaada kutoka kwa Diamond.
Nasumbuliwa na miguu kwa muda mrefu sana na ninatibiwa katika Hospitali ya Saint Monica, Manzese-Darajani".
Diamond ana taarifa za kuumwa kwangu lakini hajawahi kuja kuniona.Namshukuru mwanangu Queen Doreen kwa kunijali kwa kila kitu, alisema baba Diamond.
Aibu kweli hii. Yaani dume zima unaenda kuleta magazeti ya Shigongo ili kukazia haja yako! Hivi unajisikiaje mwanaume mzima unapokomalia maisha ya mwanaume mwenzako ambayo wakati wote source yako ni magazeti ya udaku?
Dah! Kweli aisee. Ahsante sana kwa kunisaidia mkuu wangu kwanza kuna wengine wanasema kama uanaume ni kuwa na ma'pumbu na dushelele hata mashoga wanayo kwahoyo kinachotofautisha ni matendo. AHSANTE NDUGU YANGU.mkuu hata baba yake kim kardishian alikuwa mwanaume ila technology imechukua hatamu wala usishangae
mkuu hata baba yake kim kardishian alikuwa mwanaume ila technology imechukua hatamu wala usishangae
Em njoo na ID yako ya awali, hatusajili mamluki hapa.
Em njoo na ID yako ya awali, hatusajili mamluki hapa.
Heheheiyaaaaa mapovu yatawatoka mwaka huu....
Team kiba hatukuwa na mtu kama wew sema wew ni team domo ata maandishi yanaongea.
Pole sana
Heheheiyaaaaa mapovu yatawatoka mwaka huu....
Team kiba hatukuwa na mtu kama wew sema wew ni team domo ata maandishi yanaongea.
Pole sana