Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Tatizo letu wabongo kila kitu tunakuchukulia ktk negative way...kukosoa n kazi rahisi sana guyz...let's change.

Upo kwenye matazamio, for six moons...

Sawa!?

Then utakaribishwa rasmi team wasafi, team money, team ushindi, team no stress, team vitendo, team kazi. Team PLATNUMZ.
 
Ni wewe kweli umeandika haya. Naona kama naota.

Kanye kabisa... kwani usichoamini apo ni nini? Napenda wimbo wake wa UKIMWONA na MAPENZI BASI izo mbili tuu wew kwani ulizani namchukia domo? Kama una chuki na kiba au hupendi wimbo wake ata mmoja ujue wew ni team mkumbo na sio team muziki mzuri
 
Upo kwenye matazamio, for six moons...

Sawa!?

Then utakaribishwa rasmi team wasafi, team money, team ushindi, team no stress, team vitendo, team kazi. Team PLATNUMZ.

team mond bin laden,team chibu,team
 
Akwendree kwanza hatumjui.So hatupunguzii chochote kitu.
Kwenda mwana kwendraaa

Tena akafie mbali anaandika utumbo utumbo wake apa eti nahamia team domo sasa sielewi ndo alikuwa anatuaga au? Watuuu bhaaana sijui hawana kazi za kufanya
 
umeona eeee hhhhhhaaaaaa utakuta na kura na wanapiga sema ndio hivyo

Umeonaaa, kumbe tunagombana nao nini sasa jamani.,

cute b sorry kama niliwah kukosea, kumbe tupo pamoja., team best music. Hahaha..
 
Last edited by a moderator:
Tatizo letu wabongo kila kitu tunakuchukulia ktk negative way...kukosoa n kazi rahisi sana guyz...let's change.

Eti "kukosoa ni kazi rahisi", kwani ulivyoandika kuwa team kiba ni majungu na chuki hujakosoa? Heheheiyaaaaa tunawanyima usingizi
 
Kanye kabisa... kwani usichoamini apo ni nini? Napenda wimbo wake wa UKIMWONA na MAPENZI BASI izo mbili tuu wew kwani ulizani namchukia domo? Kama una chuki na kiba au hupendi wimbo wake ata mmoja ujue wew ni team mkumbo na sio team muziki mzuri

Sijawah mchukia kiba hata cku moja, ila uzembe wake na kutojitambua ndo kunaniboa.
 
Wanadhani tunavojaribu kumuweka Kiba sawa ndio tutamkimbia!
Truth be told, ana mapungufu yake ila anakimbiza kinoma noma.

Yalivyo mambea kama mapepo yamekuja kuchungulia tunavyomshauri kiba yakajua kimenuka acha uzi uanzishwe hahahaaaaaaaaaaaaaaa
Kiba hakimbiwi kwa taarifa yenu kama nyie hamshauri domo wenu endeleeni ivyo ivyo ndo maana adi leo hamjui maanaa ya sankoro teheteheeee.
K 4 real oyooooooo
 
Back
Top Bottom