Au lukelo Sakafu..
Ni wewe kweli umeandika haya. Naona kama naota.
Akwendree kwanza hatumjui.So hatupunguzii chochote kitu.
Kwenda mwana kwendraaa
Tatizo letu wabongo kila kitu tunakuchukulia ktk negative way...kukosoa n kazi rahisi sana guyz...let's change.
Ni wewe kweli umeandika haya. Naona kama naota.
Upo kwenye matazamio, for six moons...
Sawa!?
Then utakaribishwa rasmi team wasafi, team money, team ushindi, team no stress, team vitendo, team kazi. Team PLATNUMZ.
hahahaaaa sakafu simuoni sikuizi au ndo mfungooo
Akwendree kwanza hatumjui.So hatupunguzii chochote kitu.
Kwenda mwana kwendraaa
hahahahahaha itakuwa swaumu
Tatizo letu wabongo kila kitu tunakuchukulia ktk negative way...kukosoa n kazi rahisi sana guyz...let's change.
hahahahahaaa.. Unajua wale team pinzani wamechanganyikiwa.
Wanaweza kuja kivyovyote vile.
Kanye kabisa... kwani usichoamini apo ni nini? Napenda wimbo wake wa UKIMWONA na MAPENZI BASI izo mbili tuu wew kwani ulizani namchukia domo? Kama una chuki na kiba au hupendi wimbo wake ata mmoja ujue wew ni team mkumbo na sio team muziki mzuri
bado wewe kuhama teh teh
wanasingizia mfungo afu wanakuja na ID nyingine hahaaaaa
Kaangalie jukwaa lao leo kule teamkiba wapo kama wamefiwa yan" Yamewafika hapaaaaaaa.. utacheka conversation zao za leo"
hahaaa wanajifanya wanachuki ila wakisikia beat la Nana wanainuka kucheza,, chezea sankoro wewe
Kaangalie jukwaa lao leo kule teamkiba wapo kama wamefiwa yan" Yamewafika hapaaaaaaa.. utacheka conversation zao za leo"
Wanadhani tunavojaribu kumuweka Kiba sawa ndio tutamkimbia!
Truth be told, ana mapungufu yake ila anakimbiza kinoma noma.