Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

(non-sen-si-cal
Translate Button
[non-sen-si-kuh l]
adjective
1.
(of words or language)
having little or no
meaning; making little or
no sense🙂

darasa bila ada, karibu tena.

Na mashuka waliyoambiwa hayajakauka yataloa tena...

Yaani hadi watu wanalia moyoni maana Diamond ni hakunaga. Kaka huyo ana nyota kaliiiiiiiiiiii
 
Huyo anajitekenya na kucheka mwenyewe mwanasaikolojia nshaconnect dot anajifungulia na kujimention na kujipa like huku akijilalamikia hayupo online....."alikiba ni stress tu, acha nkapate gambe" lol

Hiyo nami jimeisoma nikawa huyu tena nimeruka kusoma kitu kurudi nyuma sikuona nikawa bado nasoma labda nitakuta kitu


Duh hii kali ni kama mshabiki wa Diamond kwenye uzi huu...duh
 
Hii ni kwa mashabiki wanaompenda rohoni bali wakiandika ni wanamchukia...pichani akiwa SA kwa sasa...

Na mashabiki wote wa Diamond

1434924888250.jpg

1434924908910.jpg
 
Mawindo ya baharini siku zote hayafai milimani na usipoangalia utatoka ngeu
 
Anajitekenya mwenyewe anakata viuno mwenyewe anajijambisha mwenyewe halafu anajizamisha dole mwenyewe! Kazi kwelikweli, watu wengine kama sigara kali tu wanawashwa mbele na nyuma.

yahaya!
 
Hiyo nami jimeisoma nikawa huyu tena nimeruka kusoma kitu kurudi nyuma sikuona nikawa bado nasoma labda nitakuta kitu


Duh hii kali ni kama mshabiki wa Diamond kwenye uzi huu...duh
Anazagaa hapa kama mahindi ya msaada utadhani kaitwa
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimecheka hadi hapa ofisini wananishangaa

haaa dwoxye ameua lol

Mpwa chapa kazi jukwaa hili tumejaa majobless wasije wakakuponza, mimi mpwa wako ndio nimeingia shift ya asubuhi hapa JF na mb 300 kibindoni.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom