(non-sen-si-cal
Translate Button
[non-sen-si-kuh l]
adjective
1.
(of words or language)
having little or no
meaning; making little or
no sense🙂
darasa bila ada, karibu tena.
Ha ha ha stress msamehe
Huyo anajitekenya na kucheka mwenyewe mwanasaikolojia nshaconnect dot anajifungulia na kujimention na kujipa like huku akijilalamikia hayupo online....."alikiba ni stress tu, acha nkapate gambe" lol
Anajitekenya mwenyewe anakata viuno mwenyewe anajijambisha mwenyewe halafu anajizamisha dole mwenyewe! Kazi kwelikweli, watu wengine kama sigara kali tu wanawashwa mbele na nyuma.
Anazagaa hapa kama mahindi ya msaada utadhani kaitwaHiyo nami jimeisoma nikawa huyu tena nimeruka kusoma kitu kurudi nyuma sikuona nikawa bado nasoma labda nitakuta kitu
Duh hii kali ni kama mshabiki wa Diamond kwenye uzi huu...duh
Hata Heaven on Earth hajaona, nimeidownload fasta isijeondolewa bureeeee
Mara ya Tisa hii unaaga....kweli viroba sio chai
shift ya asubuhi Lol
Over my dead body.
Mimi hapa kwa Ali, Weusi, Ben pol...hunitoiii
Team good music.Huyo mjanja mjanja hajui kitu
Mara ya Tisa hii unaaga....kweli viroba sio chai
Unaweza dhani unaongea na mtu kumbe unaongea na kiroba, mi nshacheka hadi nmechoka....mdomo unashangilia moyo unalia
Yani kila nkiangalia hiyo screenshot nacheka jamani dah, ntaiupload hadi mods wanipe warning ha ha hanilienda pata gambe nikazimaA