Kimbley mkuu hapo ukitaka kuvote tena una cancel hiyo thank you for vote. halaf unabofya vote tena au?!
Jambazi mbona mie navote zaid ya mara 20 na cjawah kuletewa kama hivyo?! au ukishavote unalog out halaf unalog in tena ndio unavote tena ............ mi navote ikitokea hiyo box kwamba thank you for vote!' nakikancell halafu navote tena au sivyo?!
ok. ngoja niendeleze mavote ya kutosha, ***** ........Yeah una cancel and u vote again
Yaani ndio mwendo huoooo!!!
ok. ngoja niendeleze mavote ya kutosha, ***** ........
Hii video huchoki kuiangalia, hivo viuno vya baba kijacho mmmhKuwa team WCB raha Sana'a
Nana ni Africa Hit lol!
Hii video huchoki kuiangalia, hivo viuno vya baba kijacho mmmh
Ni nzuri kwakweli, baba cookie nae yupo vizuriJana nilikuwa safarini nimechoka ndani ya gari wakaweka nana acha uchovu upotee
Yani kila nkiangalia hiyo screenshot nacheka jamani dah, ntaiupload hadi mods wanipe warning ha ha ha
Ha ha ha hebu usinkumbushe mieHahahah a hahahahaha kuna mutu imeshikwa hapa hshshaabahahaj
Ha ha ha hebu usinkumbushe mie
Trace TV ni kituo cha TV cha Ufaransa maarufu
kwa burudani ambapo kwa miaka kadhaa sasa
hivi kimeendelea kuchukua watazamaji wapya
wapenda muziki kila siku kutokana na ubora wa
muziki unaopigwa na wao, video kali kutoka kila
kona ya dunia ambapo leo kituo hicho ya
kimesema hizi ndio video 10 bora za Africa
zinazotamba wiki hii zikiwemo za watanzania
wawili (Vanessa Mdee & Diamond Platnumz)
10.Timaya ft Phyno & Deettii- Gbagam
9.Iyanya & Diamond Platnumz Nakupenda
8.Vanessa Mdee ft K.O Nobody But Me
7. Mi Abaga - bad melle
6.Runtown -The Banger ft Uhuru
5.Wiz Kid Expensive Sh*t
4.Davido ft Meek Mill (Fans Mi)
3.YemiAlade ft. phyno
2.Diamond Platnumz ft Mr Flavour Nana
1.Olamide- Bobo
From Millardayo.com
Diamond taratibu basi, utawaua team chekeche
Trace TV ni kituo cha TV cha Ufaransa maarufu
kwa burudani ambapo kwa miaka kadhaa sasa
hivi kimeendelea kuchukua watazamaji wapya
wapenda muziki kila siku kutokana na ubora wa
muziki unaopigwa na wao, video kali kutoka kila
kona ya dunia ambapo leo kituo hicho ya
kimesema hizi ndio video 10 bora za Africa
zinazotamba wiki hii zikiwemo za watanzania
wawili (Vanessa Mdee & Diamond Platnumz)
10.Timaya ft Phyno & Deettii- Gbagam
9.Iyanya & Diamond Platnumz Nakupenda
8.Vanessa Mdee ft K.O Nobody But Me
7. Mi Abaga - bad melle
6.Runtown -The Banger ft Uhuru
5.Wiz Kid Expensive Sh*t
4.Davido ft Meek Mill (Fans Mi)
3.YemiAlade ft. phyno
2.Diamond Platnumz ft Mr Flavour Nana
1.Olamide- Bobo
From Millardayo.com