Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

lala salama..
matatizo chuki lawama..
matatizo chuki lawama..
ukilala lala salama
kumbatia picha yangu
kama ukinikumbuka sana
nipigie simu yangu
uki..ukilala lala salama
kumbatia picha yangu
matatizo chuki lawama
vumilia mpenzi wangu
najua wivu ndo mapenzi
ila chunga usizidi
si unajua kwako sijiwezi
ila dhiki imebidi
mi nili.tamani si mi kuwa nawe
tuwe wote usiku na mchana
kilichofanya mi nipagawe
sina chochote cha kuwalisha wana
niliupokea kwa unyonge.. msiba wa kaka bona
ile barua yako ya mwisho.. ilinitonesha vidonda
usijali, Nilai kipenzi changu, ukazani
nimekumbwa.. na pepo la starehe
mambo bado magumu kwangu, afadhali hata ya
jana ya kesho niombee
ukilala lala salama
kumbatia picha yangu
kama ukinikumbuka sana
nipigie simu yangu
uki..ukilala lala salama
kumbatia picha yangu
matatizo chuki lawama
vumilia mpenzi wangu
ile kua uone
nilidhani maghorofa
ai, akumbe mwana ukome
hakuna cha kuokota
mi bado, nakaza moyo changu kipenzi
ila naumia kwa kuwa mwenyewe
natamani ila siwezi, nazitafuta ili nije kula na
wewe
msalimu mama nyumbani, usiseme kama
nahenya
tai, mfiche mpe imani, karibu ntakuwa chema
usijali, Nilai kipenzi changu, ukazani
nimekumbwa.. na pepo la starehe
mambo bado magumu kwangu, afadhali hata ya
jana ya kesho niombee
ukilala lala salama
kumbatia picha yangu
kama ukinikumbuka sana
nipigie simu yangu
uki..ukilala lala salama
kumbatia picha yangu
matatizo chuki lawama
vumilia mpenzi wangu
 

Nikipiga kura naletewa huo ujumbe Wa thanks for voting lakini nikitaka huo ujumbe utoke niendelee na category nyingine nakosa option ya kuutoa huo ujumbe zaidi ya hiyo X ambayo unasema nikiibonyesha narudia kupiga kura ..nipe ufafanuzi ndugu
 
kanali mstaafu

bonyeza kwene X apo kukata na kisha vote tena haina kikomo iyo kama utakuwa umejiunga kwa email
 
Last edited by a moderator:

ahahahahaha!!umetisha meeen!
 
Another Great News from @YFm South Africa... Your
favorite Song #NaNa is No.1 on # AfficialTop5Countdown
# AfricaBoomBoxx ..
(Habari nyingine Nzuri toka Radio @Yfm South Africa ni
kuwa Nyimbo yako pendwa #NaNa iko nafasi ya kwanza
katika Nyimbo Tano Bora Africa....) Bonyeza link juu ya
BIO yangu kuona idadi ya watu walio itazama hapa
https://youtu.be/IflpfcHmq5I
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…