Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Nadhan kwa jina hilo hilo la uzalendo inabd tuwape sapoti wasanii wote wanaojitahid kutoboa nje ya mipaka.

Kiba anapigwa Trace, tumpe sapoti, Doamond pia, lets keep hizi mambo za kuangushana na kupondona humu humu ndani bt when comes to nje tusimame pamoja

Ni kiswahili chetu, nchi yetu so tuwape sapoti vijana wetu na hata wanapokosea ni kuwashaur kwa upendo.

Ofcourse tunafaidika na hiz competition ,sababu zinafanya wajitutumue na kujituma zaid bt we have to keep in internal zaid.
 
Nyie humu ni kupiga kura MTV ndio iwe topic sio kingine.

Kila ukienda kuchungulia mnaweka promo na kumuongeza viewers vizuri kama nawe shabiki

Trace kideo kuonyeshwa sio tabu ni wakati wake na haiingizi pesa kwa msanii hata senti haulipwi.

Nyie pigeni kura za MTZ awards (MAMA) tushangilie wanamuziki wa nchi yetu.
 
Jamaniiiiiiiiii mi namtafuta rafiki angu anaitwa chige yuko wapi jamani isijekuwa kafa. Tusisahau kupiga #WCBforever .
Nife halafu nikuache na nani? Ikitokea lazima nikate rufaa!
mmmh jamani kufa tena? sitaki kusikia chige hebu njoo unatupa wasiwasi wenzio jamani
Yaani nimewa-miss nyie warembo hadi najisikia kufwa... sema dah, hizi njaa hizi jamani! But no matter how busy I am, at the end of the day, I never forget this:
na katika kukumbushana na wadau, siku imeanza na inabidi ianze kama hivi: VOTE! VOTE!VOTE!
 
Kinachonifurahisha humu ndani ni hivi wakati haters and traitors wa mondi wako bize na kuongeza idadi ya views huko YouTube sisi huku tupo bize kuvote hahahahahahahh

Hii imetulia huwa naenda mtaa wa pili hapo sio kutafuta ugomvi but kuwavuruga tu ili waendelee kuwa bize na kuongeza views huko YouTube hahqhahah its just mind games.

So si tuendelee kuvote jamani maana nadhani siku hiyo watabana mapumbu hadi yapasuke

Hahahahahaahh
 

Ndio mpango mkuu.. tatizo wapo wachache hata views zenyewe zinasita siku tatu sisi tulikuwa laki tano, si tunawatoa damu hawa...

Let's keep on voting
 
MTV mama Diamondplatnumz (best male, live, collaboration) & vanessa (best female)

⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇


MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015


⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
link hiyoooooooooooo... #wasaaaaaaafi

___________________________________
Hakikisha unapiga kwa kutumia browser, na lazima kusign in kwa Facebook, twitter, or email... Kila kipengele 20 votes kila siku, kwa waliojiunga na email, au twitter wanapiga bila kikomo...

vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote
 

Ahh mbona hujampgia na ally au hayupo ktk hzo tuzo. Hehehe co mzalendo ww unampgia president dai peke ake.
 
Ebwanaeeeeeeeee ni noooma sana nimecheki kideo cha love boat daaah ni shiida japokuwa ni kipisi 15 sec ila ni moto...

Kwanza walivyotoka na pamba nyeupeee, quality kali, dadeki mtoto aliyepo ndani humo noooma, fastjet fulani hiviii anazing...

wacha tuisubirie hiyo kesho..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…