Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Vote vote for Diamond and Vanessa on Mtv cku chache zimebaki" #teamNoStress
 
Attachments

  • 1435922149069.jpg
    1435922149069.jpg
    52.2 KB · Views: 137
duh nimetazama hio video....ali kiba ana kitu cha kujifunza kutoka kwa diamond. akae chini na menejimenti yake waangalie watoke vipi! kwanini wanamuziki wa nje,hasa nigeria wanataka kutoa video na diamond tu? kuna kitu sio bure!

ila kutoka tandale hadi kufanya video za kiwango hiki ni safari ndefu ya kimafanikio...big up diamond uendelee zaidi na zaidi
Mungu akuongezee.
 
Maneno ya busara haya mkuu.
 
Back
Top Bottom