Baby_ake katisha duh
hahahahaha
haya chibu kwa sasa yupo bze kidogo.. Tunakuteuwa umuwakirishe chibu dangote í-½í¸‚í-½í¸‚
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baby_ake katisha duh
hahahahaha
haya chibu kwa sasa yupo bze kidogo.. Tunakuteuwa umuwakirishe chibu dangote í-½í¸‚í-½í¸‚
Hahah mkuu m nitaingiza yote cnaga nusunusu 😀😀
hahahahahaha najuwa hiyo namba wadau walioiona watakuwa wamepiga sana...
Afu mpuuzi tuyo nimeingia kwa chibu sahivi naona bado anaendelea kucomment hivo
Unakuta ukifungua account yke kuna picha 1 alaf sio yke. Wabongo bwana
Ndugu yako huyooooo
Baby_ake katisha duh
Ayaaaa! Halafu na wewe kuna wakati nilikutafuta kishenzi... ikawa kila nikichungulia, holaa! Nikiangalia last posts, nikakata tamaa kabisa nikajua ushapelekwa Chiungutwa!Upo? mbona ulipotea ndo ulikuwa unatangaza nia au?
Lazima nijifanye niko busy wewe ili totoz za JF zifikirie chige kumbe ni mtu wa mitikasi, we wa wapi wewe usiyefahamu sanaa za mjini kati?! Uko poa lakini mtoto m-cutie?Watu tunakumiss mpaka tunakasirika sasa lol!ubize gani huo hata wewe mwenyewe?!
Muziki unalipa manake kuna huduma kibao mtu unagonga free! Wakati wengine wanasubiri mwisho wa mwezi wapate mshahara ili wahonge pamoja na madgrii yao wengine na ka-form iv kabovu tu lakini unatangaziwa tunda hadharani... hii dunia haina haki kabisa!Baby_ake katisha duh
Lazima nijifanye niko busy wewe ili totoz za JF zifikirie chige kumbe ni mtu wa mitikasi, we wa wapi wewe usiyefahamu sanaa za mjini kati?! Uko poa lakini mtoto m-cutie?
Ayaaaa! Halafu na wewe kuna wakati nilikutafuta kishenzi... ikawa kila nikichungulia, holaa! Nikiangalia last posts, nikakata tamaa kabisa nikajua ushapelekwa Chiungutwa!
Hey guyz , are we still sailing in a loveboat?
ulijuajeeeee....nshapelekwa Chiungutwa tayari...
Kamwangalia king huko instagram akimsifia diamond,anaongea akiwa hataki ila hana namna imebidi tu aseme vile,nenda kwa mtu anaitwa rwamasi
Nikipiga kura naletewa huo ujumbe Wa thanks for voting lakini nikitaka huo ujumbe utoke niendelee na category nyingine nakosa option ya kuutoa huo ujumbe zaidi ya hiyo X ambayo unasema nikiibonyesha narudia kupiga kura ..nipe ufafanuzi ndugu
Thanks God nimemaliza kifungo changu cha 2weeks.but nimetumia vyema nafasi hiyo kupiga kura zaidi ya mara milioni kadhaa.
ila mods muwe fair acheni ubabe wa kizamani.
Hiyo X inatupa nafasi ya kucancel huo ujumbe wa "thanks for voting" ili urudi kwenye page ya categories na uweze kuvote kwa mara nyingine.
Karibu sana homie,
Ishu kubwa inayo endelea hapa ni kukumbushana kuvote kwa kijana wetu Naseeb