Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

hahahahahaha najuwa hiyo namba wadau walioiona watakuwa wamepiga sana...

Afu mpuuzi tuyo nimeingia kwa chibu sahivi naona bado anaendelea kucomment hivo

Unakuta ukifungua account yke kuna picha 1 alaf sio yke. Wabongo bwana
 

Attachments

  • 1436044860482.jpg
    1436044860482.jpg
    11 KB · Views: 162
Baby_ake katisha duh
Muziki unalipa manake kuna huduma kibao mtu unagonga free! Wakati wengine wanasubiri mwisho wa mwezi wapate mshahara ili wahonge pamoja na madgrii yao wengine na ka-form iv kabovu tu lakini unatangaziwa tunda hadharani... hii dunia haina haki kabisa!

Halafu nikipiga mahesabu, naona ,mnh! Chibu ana mtihani sana kwa mama kijacho! Manake kwa Wema, ukimpelekea BMW used ya $ 20K tu ingemkenusha meno na kusahau machungu ya uzazi (dongo hili liwafikie Heaven on Earth na Mrembo by Nature popote pale walipo) sasa mtu kama Zari unampa nini yaani?!
 
Lazima nijifanye niko busy wewe ili totoz za JF zifikirie chige kumbe ni mtu wa mitikasi, we wa wapi wewe usiyefahamu sanaa za mjini kati?! Uko poa lakini mtoto m-cutie?

aahahaaa!!mi niko poa kabisaaa!!haya bwanabwe endelea na harakati zako ninaimani watajileta wenyeweee!!na u-team kiba watauweka pembeni kwa muda
 
Ayaaaa! Halafu na wewe kuna wakati nilikutafuta kishenzi... ikawa kila nikichungulia, holaa! Nikiangalia last posts, nikakata tamaa kabisa nikajua ushapelekwa Chiungutwa!

ulijuajeeeee....nshapelekwa Chiungutwa tayari...
 
Nikipiga kura naletewa huo ujumbe Wa thanks for voting lakini nikitaka huo ujumbe utoke niendelee na category nyingine nakosa option ya kuutoa huo ujumbe zaidi ya hiyo X ambayo unasema nikiibonyesha narudia kupiga kura ..nipe ufafanuzi ndugu

Thanks God nimemaliza kifungo changu cha 2weeks.but nimetumia vyema nafasi hiyo kupiga kura zaidi ya mara milioni kadhaa.

ila mods muwe fair acheni ubabe wa kizamani.

Hiyo X inatupa nafasi ya kucancel huo ujumbe wa "thanks for voting" ili urudi kwenye page ya categories na uweze kuvote kwa mara nyingine.
 
Thanks God nimemaliza kifungo changu cha 2weeks.but nimetumia vyema nafasi hiyo kupiga kura zaidi ya mara milioni kadhaa.

ila mods muwe fair acheni ubabe wa kizamani.

Hiyo X inatupa nafasi ya kucancel huo ujumbe wa "thanks for voting" ili urudi kwenye page ya categories na uweze kuvote kwa mara nyingine.

Karibu sana homie,

Ishu kubwa inayo endelea hapa ni kukumbushana kuvote kwa kijana wetu Naseeb
 
Chibu kampa happy bday AY na kumshukuru kwa kumintroduce kwa Godfather etc, ila nilivyoingia kwenye insta ya AY nimekuta hajawahi kumpa sapoti hata kamoja recently katika kuwania tuzo.

Nahisi lazima ameingia wivu nae, sababu Chibu yupo clean na ameandika ujumbe mzuri tu kama kawaida ya mtu atafanya kushukuru. Ila AY sasa ndio kwanza anampa promo wa Uganda kupigiwa kura na vanessa tu sio Diamond. Kweli wivu mbaya, kwa hiyo wote wakae chini wasing'ae au?
 
Back
Top Bottom