Mchiwa Ng'ambaku
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 959
- 803
Africa 10 trace namba moja Nana by msanii wa kimataifa Diamond
+haya jaza nafasi iliyoachwa wazi then ukavote mara nyingi uwezavyo!
Habari wanayo... Kuna mandorobo yatasema davido wakati jibu wanalijua 😂😂😂
+si bora hata waseme Davido wengine watasema account fake ya MTV ha haa haaa
My crush msafiiiiiView attachment 265143
Let's keep on voting MPAKA KIELEWEKE
Nimevote hadi vidole vinauma lol
Dogo katupia, maneeinerr!"
Mtawauwa team pinzani jamani. Loh. Ivi wanajiskiaje na hali?
Me nime vote hadi naumwa ugonjwa wa kuvote 😊😊
Meona eeh afu ukiwa unavote unajikuta tu unaendelea hutamani kuacha ka umerogezewa vile
Hatari n kuvote vote tu masaa 24 hadi nishakuwa teja wa kuvote 😎
Hahaaaaaa unanipa raha endelea kuvote baba, mi mwenyewe nshakuwa addicted
Ukiwa mbabe raha wooosaaaa saa sita kamili mzigo unadondoka
Duh ka unayo niwatsap can't wait joh
baado official release saa sita, nadhani wanatuwekea youtube