Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hahah kama hawata logIn jf tena basi wakaipe nguvu cheketua Youtube kwakwel inatia uruma. Siku ya 11 leo viewers hawajafika hata laki 5 maskini dah.

teh teh!hiyo video raia wameshaitenda tayari!!tatizo nyodo nyingi kuanzia kwa king wao mpaka mashabiki wao,yaani allykiba anajiona yeye ndie anaejua kuimba bongo hii, wenzie wakiimba basi wanakosea!sijui nani alimdanganya kama mziki una mwenyewe masikini?!!
 
Huwa nasemaga kila siku fans wa mfalme wanamlostisha jamaa kwa tabia zao za kiswazi .

Ni wabishi kuelewa , wajuaji wengi.

Wanamatusi balaa ukiwapa kijembe cha kawaida wanakurudishia tusi .Utaitwa "shoga" au " Malaya daah !

Mambo haya yanawqkosti sana so far wanajiharibia reputation zao humu kwa matusi kwa membaz mpaka mods.

Wqnahitaji kubadilika

Nakwambia moderators wameitwa majina yote machafu kisa tu mtu kufutiwa comment kweli?!kuna siku Mazigazi nilifutiwa comment 14 ndani ya masaa sita!!ilikua kwenye uzi wa wemasepetu,na hakukua hata na tusi nililotukana kwa mods!

Kwanza nikiona comment yangu imefutwa naogopaje!nakaa kimya kama sio mimi vile
 
teh teh!hiyo video raia wameshaitenda tayari!!tatizo nyodo nyingi kuanzia kwa king wao mpaka mashabiki wao,yaani allykiba anajiona yeye ndie anaejua kuimba bongo hii, wenzie wakiimba basi wanakosea!sijui nani alimdanganya kama mziki una mwenyewe masikini?!!

Juzi Kati hapo kaomba watu wa vote kwa mniger video bora, bebebecool wa Uganda kampotezea, acha watu wamchambe,,, yani Ana jisikiaje sijui
 
Yaani anajiona yeye ndie anajua mziki na sauti anajiona anayo pekeyake,kila kitu anacho yeye!

Ila asichokijua ni kwamba,Ally hana mashabiki wa kweli bali amezungukwa na maadui wa diamond ambao wameshindwa kumtoa sokoni kabisaa!!Wale wooote wenye chuki na diamond wapo kwa Allykiba sasa hivi wakijaribu kuunganisha nguvu ya kumtoa diamond sokoni
 
Wakiongozwa na teamwema hahaaaa kunawatu wanachekesha aisee eti kisa diamond kamimbisha Uganda basi wanataka kumshusha
 
Hahaaaa umeanza mashairi yako au nawewe unataka kuwa ka mondi

Hahahahahaha levo ya mondi Mimi inabidi nikaze msuli kwelikweli maana kijana yupo mbingu ya saba mi ndo kwanza nipo futi 100 kutoka usawa wa Bahari hahahah.

Kuna shairi hivi niitawapa litawafunza hawa majirani zetu.
 
Nakwambia moderators wameitwa majina yote machafu kisa tu mtu kufutiwa comment kweli?!kuna siku Mazigazi nilifutiwa comment 14 ndani ya masaa sita!!ilikua kwenye uzi wa wemasepetu,na hakukua hata na tusi nililotukana kwa mods!

Kwanza nikiona comment yangu imefutwa naogopaje!nakaa kimya kama sio mimi vile

Haha mkuu jamaa zetu hawana uvumilivu kabisa .

Tatizo wanachukuli hii cyberlife too serious.hahahahah
 
Hahahahahaha levo ya mondi Mimi inabidi nikaze msuli kwelikweli maana kijana yupo mbingu ya saba mi ndo kwanza nipo futi 100 kutoka usawa wa Bahari hahahah.

Kuna shairi hivi niitawapa litawafunza hawa majirani zetu.

Hahaaaa haya tupe, naona sikuizi unakasi ya mashairi tuambizane ukitaka kutoa nyimbo mi ata chorus tu nitafaa
 
Wakiongozwa na teamwema hahaaaa kunawatu wanachekesha aisee eti kisa diamond kamimbisha Uganda basi wanataka kumshusha

ahahahaa!!yaani wema ndio anazidi kujitoa ufahamu,Halafu kiba sijaona hata akimuunga mkono kwenye ugombea ubunge!au sijui hajamuomba amposti ahahaa!!maana ndio mchezo wao ally na wema wakimposti mtu tu basi kesho utawasikia clouds wanasema waliombwa kupost watu.

Sasa kama bongo madem hawaeleweki kwanini asiende nchi za nje?!ahahaha
 
Utaambia " haya chekecha cheketuaaa" hahaahaha .

Mi huwa nacheka sana nikipita kule kwenye Uzi wapo yaani wamepanic sana wanatia huruma.

Mkuu nakuonaga.....hata hubishan nao, unawaachia ma'icons tu.
Haahaaaaa
 
ahahahaa!!yaani wema ndio anazidi kujitoa ufahamu,Halafu kiba sijaona hata akimuunga mkono kwenye ugombea ubunge!au sijui hajamuomba amposti ahahaa!!maana ndio mchezo wao ally na wema wakimposti mtu tu basi kesho utawasikia clouds wanasema waliombwa kupost watu.

Sasa kama bongo madem hawaeleweki kwanini asiende nchi za nje?!ahahaha

Kwa iyo anataka kutuambia kuwa seyi shayi alimwomba kiba ampost, ukute ata hajui Kama kuna MTU anaitwa kiba hahaa
 
Hahahahahaha levo ya mondi Mimi inabidi nikaze msuli kwelikweli maana kijana yupo mbingu ya saba mi ndo kwanza nipo futi 100 kutoka usawa wa Bahari hahahah.

Kuna shairi hivi niitawapa litawafunza hawa majirani zetu.

Tupe tupe tupe hayo mashairi maana hali ni mbaya kwa watani wetu wa jadi.
 
Diamond atawaua bure asee!
...maana, mara watu tuna'vote Mtv, hatujamaliza tunaambiwa tuvote UEA....mara mtu anapga show Nigeria, karud hajakaa sawa anajaza nyomi Singida...
Afu wakiangalia upande wao, ndo kwanz znaletwa nyuz za kudoda kwa video yao..

Hahahaaaaaa

Hahaaaa Jana wamereview album wanziio
 
Back
Top Bottom