Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hahahaaa
...international level n habar nyingine, hiv hawaonag aibu kujifananisha na mwenzao anahegombea uanamzki bora wa Africa.....anashindanishwa na kina wizkid na davido πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

God bless you Platnumz...

Sindo maana wanapata stress kila siku adui yao anazidi kushine wataachaje gambe kwa mfano
 
ahahahaa ni kweli kabisaaaaaa!!
 
Diamond katisha sana uko instagram yaani asubuhi alikuwa na followers 809k imefika mchana ana followers 830k, yaani ndani ya masaa 4 kapata followes 20k, hadi mwenyewe anashangaa hawa watu wametoka wapi ghafla ivyo.
 
aahahaha hat wema sepetu pia ameongeza followers kama 10 na kitu hivi!alikiba pia ameongeza kama kumi na nne 14k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…