Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hahahaaa
...international level n habar nyingine, hiv hawaonag aibu kujifananisha na mwenzao anahegombea uanamzki bora wa Africa.....anashindanishwa na kina wizkid na davido 😀😀😀

God bless you Platnumz...

Sindo maana wanapata stress kila siku adui yao anazidi kushine wataachaje gambe kwa mfano
 
Ile dharau sana asee....mtt wa kiume haongei vile.....halafu kpnd anaongea ile kauli alikuwa na tuzo moja ya kilimanjaro kabatin, asa cjui kizur gan hcho kilichomnyima hata tuzo za ktma!

Ngoja mashabik ake maandaz waendelee kumpoteza....sie tunaenda kupia show south wiki ijayo na tuzo ya Best live hiyo ipo kwa ajil etu labda zngine ndo tutagombea!

ahahahaa ni kweli kabisaaaaaa!!
 
Diamond katisha sana uko instagram yaani asubuhi alikuwa na followers 809k imefika mchana ana followers 830k, yaani ndani ya masaa 4 kapata followes 20k, hadi mwenyewe anashangaa hawa watu wametoka wapi ghafla ivyo.
 
aahahaha hat wema sepetu pia ameongeza followers kama 10 na kitu hivi!alikiba pia ameongeza kama kumi na nne 14k
 
Back
Top Bottom