Kumbe mamee we ni muelewa hiv....I lyk yu.
Matusi so maungwqna, chukizo kwa maulana.
Mwaitafuta laana, toka kwake ye rabana.
Itawagharimu sana, I tena bila maana.
Majirani tupendane, rai apewe mfalme.
Ukimtusi modereta , na kwa bani utatota.
Wala pole hutopata,masaibu kukukuta.
Na pia utajuta, wako ujinga kufuta.
Majirani tupendane, rai apewe mfalme.
Jukwaa la burudani, wala sio tafrani.
Hivi kwa sababu gani, taraghani kushamiri.
Majirani tupendane, rai apewe mfalme.
Mazigazi muungwana, na sio mjuaji sana .
Mpenda kuafikiana, kwa jambo lenye maana.
Majirani tupendane, rai apewe mfalme.
Asanteeeer Mazigazi

Mondi mutoto mubaya, na pia hanaga haya.
Majirani tupendane, rai apewe mfalme.
😄😄 thank you
Mkuu....vip naww kumbe ni mtunz mzur hiv....ile tuzo ya ktma ilikuwa inakuhusu hiv 😀😀😀
Matusi so maungwqna, chukizo kwa maulana.
Mwaitafuta laana, toka kwake ye rabana.
Itawagharimu sana, I tena bila maana.
Majirani tupendane, rai apewe mfalme.
Ukimtusi modereta , na kwa bani utatota.
Wala pole hutopata,masaibu kukukuta.
Na pia utajuta, wako ujinga kufuta.
Majirani tupendane, rai apewe mfalme.
Jukwaa la burudani, wala sio tafrani.
Hivi kwa sababu gani, taraghani kushamiri.
Majirani tupendane, rai apewe mfalme.
Mazigazi muungwana, na sio mjuaji sana .
Mpenda kuafikiana, kwa jambo lenye maana.
Mondi mutoto mubaya, na pia hanaga haya.
Majirani tupendane, rai apewe mfalme.
Hahahahah si kapewa mfalme wengine tumebaniwq mpaka barnaba classic daah .
ahahahahaha we mtu nimekuvulia kofia khaaaa!!!sio kwa mashairi haya!!looh utadhani malenga wapya?
Hahahahah malenga wapya na chekacheka umenikumbusha mbali sana enzi hizooo!!!
Matusi so maungwqna, chukizo kwa maulana.
Mwaitafuta laana, toka kwake ye rabana.
Itawagharimu sana, I tena bila maana.
Majirani tupendane, rai apewe mfalme.
Ukimtusi modereta , na kwa bani utatota.
Wala pole hutopata,masaibu kukukuta.
Na pia utajuta, wako ujinga kufuta.
Majirani tupendane, rai apewe mfalme.
Jukwaa la burudani, wala sio tafrani.
Hivi kwa sababu gani, taraghani kushamiri.
Majirani tupendane, rai apewe mfalme.
Mazigazi muungwana, na sio mjuaji sana .
Mpenda kuafikiana, kwa jambo lenye maana.
Mondi mutoto mubaya, na pia hanaga haya.
Majirani tupendane, rai apewe mfalme.
Diamond katisha sana uko instagram yaani asubuhi alikuwa na followers 809k imefika mchana ana followers 830k, yaani ndani ya masaa 4 kapata followes 20k, hadi mwenyewe anashangaa hawa watu wametoka wapi ghafla ivyo.
Muziki unalipa manake kuna huduma kibao mtu unagonga free! Wakati wengine wanasubiri mwisho wa mwezi wapate mshahara ili wahonge pamoja na madgrii yao wengine na ka-form iv kabovu tu lakini unatangaziwa tunda hadharani... hii dunia haina haki kabisa!
Halafu nikipiga mahesabu, naona ,mnh! Chibu ana mtihani sana kwa mama kijacho! Manake kwa Wema, ukimpelekea BMW used ya $ 20K tu ingemkenusha meno na kusahau machungu ya uzazi (dongo hili liwafikie Heaven on Earth na Mrembo by Nature popote pale walipo) sasa mtu kama Zari unampa nini yaani?!
+Mondi mutoto mubaya, na pia hanaga haya.
+Majirani tupendane, rai apewe mfalme!
Hongera Mkuu kwa mashairi matamu