Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Jamani kwemaaa!!!!naonablowassa amevuruga utaratibu kabisa leo

Kwema tu.....leo watu wapo kule sana!
...Ila mm kijan na njano hainihusu.....SIJAWAHI KUIPENDA!
...npo nawaangalia tu wanavouana!
 
Hebu nitolee utoto wako hapa sawa?!uzi wenu upo kulee!!!ushawahi kuniona nakuja kule kwenu?

Una hamu ya kukatwa ama??

why alwayz discuss kiba n his fans ur artist is international so how come to compete with kiba who is local jadilini mambo ya domo sawa mbona anawanyima raha sasa
 
huu uzi ni wa diamond fans sasa mnapotujadili na cc lazima tuchangie coz nyinyi ndo mnakujaga kwenye uzi wetu ushawahi kuniona nimecoment kwenye huu uzi kabla ya leo kwa nn mnatujadili mkitujadili tutachangia ila sina shobo hizo nyi ndo mnakuja kule cc tukija mnatukana keep on loving domo n us kiba no problem
 

Kwanza hujambo mtoto mzuri Kimbley.
Nilikuwa bize na siasa lol, nipe umbeya basi kwani kule kwa majirani zetu kulitokea nini mbona watu walipanick? Nimesoma comments za juzi sijui nikajionea zangu majanga.

Pili hii tabia ya mtu kujifanya hajaombwa support ndo nini eti? Mi nashindwa kuelewa eti hajaniomba support, hajanitumia picha (kwa sauti ya kubana pua). Pyeeeeeeeeee.
 
Last edited by a moderator:

Sijambo mpenzi!tulikumiss tu,hapa nilipo nimechanganyikiwa huyo makamu wa Rais sijui hata ametokea wapi jamani huyo mama!!!!!hiyo sura ni ipi jamanii????

Poa bwana haina shida CCM nyie ndio mna maamuzi ya mwisho sisi tutafanyaje!
 
Last edited by a moderator:
Sijambo mpenzi!tulikumiss tu,hapa nilipo nimechanganyikiwa huyo makamu wa Rais sijui hata ametokea wapi jamani huyo mama!!!!!hiyo sura ni ipi jamanii????

Poa bwana haina shida CCM nyie ndio mna maamuzi ya mwisho sisi tutafanyaje!

Hahahaaa Samia suluhu ni wa Long time, we siasa yako daimond tu eeeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…