Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,560
Jamani kwemaaa!!!!naonablowassa amevuruga utaratibu kabisa leo
Hahaaaa naona lowasa na membe wamevuruga watu leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani kwemaaa!!!!naonablowassa amevuruga utaratibu kabisa leo
Jamani kwemaaa!!!!naonablowassa amevuruga utaratibu kabisa leo
Japo na mie simtaki ila nmemuonea tu hurumaJamani kwemaaa!!!!naonablowassa amevuruga utaratibu kabisa leo
Japo na mie simtaki ila nmemuonea tu huruma
Ajipumzikie tu buana, atleast magufuli atafaa tehahahahahaha nahisi pressure imeshuka/imepanda maana amechoka sana
Ajipumzikie tu buana, atleast magufuli atafaa teh
Walilifanya group la watsapp lile teh teh
ahahahaa!!watu wamepanic vibayaa!!
wizard power help him focus on ur artist not us ok!
Hebu nitolee utoto wako hapa sawa?!uzi wenu upo kulee!!!ushawahi kuniona nakuja kule kwenu?
Una hamu ya kukatwa ama??
ahahahaa!!yaani wema ndio anazidi kujitoa ufahamu,Halafu kiba sijaona hata akimuunga mkono kwenye ugombea ubunge!au sijui hajamuomba amposti ahahaa!!maana ndio mchezo wao ally na wema wakimposti mtu tu basi kesho utawasikia clouds wanasema waliombwa kupost watu.
Sasa kama bongo madem hawaeleweki kwanini asiende nchi za nje?!ahahaha
Kwanza hujambo mtoto mzuri Kimbley.
Nilikuwa bize na siasa lol, nipe umbeya basi kwani kule kwa majirani zetu kulitokea nini mbona watu walipanick? Nimesoma comments za juzi sijui nikajionea zangu majanga.
Pili hii tabia ya mtu kujifanya hajaombwa support ndo nini eti? Mi nashindwa kuelewa eti hajaniomba support, hajanitumia picha (kwa sauti ya kubana pua). Pyeeeeeeeeee.
Sijambo mpenzi!tulikumiss tu,hapa nilipo nimechanganyikiwa huyo makamu wa Rais sijui hata ametokea wapi jamani huyo mama!!!!!hiyo sura ni ipi jamanii????
Poa bwana haina shida CCM nyie ndio mna maamuzi ya mwisho sisi tutafanyaje!
Teh Teh...Hahahaaa Samia suluhu ni wa Long time, we siasa yako daimond tu eeeh?