Tunavote sana tu kaka
diamond woyowoyowoyoooooooooooo!!Artist of the year niiiiiiiiii diamooooooooond platnumzzzzzzzzzzz
:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:😀😀😀
Hiv zilikuwa nakuvote?? Au tumepata tuu??
Hizi ni special awardssssss!!ni kwa ajili ya ma icon wa taifa,hapa bongo Wamepata Hon.KIKWETE na DIAMOND,hainaga kura hii heshima
Hizi ni special awardssssss!!ni kwa ajili ya ma icon wa taifa,hapa bongo Wamepata Hon.KIKWETE na DIAMOND,hainaga kura hii heshima
Nlikua nafurahi alienusurika kuwa mbunge kakatwa, nikanywaaaa nkazima naumwa kichwa mwehtushirikishane mwenzangu hiyo raha basi!maana mie kwangu leo karaha tu,simu yangu moja imelowekwa kwenye maji na dogo,halafu ndio simu ninayoipenda sana
Nipo mie bado nakula bata na kusikiliza mwimbo wa Nana hadi raha bila kuachwa mbali na Nasema nawe na pia Wangu na nyinginezooooooo