Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Kwa wale ambao hawangliii kupitia dstv ingia YouTube search viral Africa thread utacheki tuzo live
 
Nyi watu Hamna access nini na MTV base? Durban kishanuka huko Best live

Katangaza Vmoney Diamond kachukua ,ndo tuzo ya kwanza kutolewa

Kuna uzi mwingine wa mama, watu wako huko
 
attachment.php

 
Tumechukua mwali sasa ni kusubiri kuipokea.. Itakuwa wapi mwembeyanga? Leaders? Au mbagala zakihem?.. Tuvute subira.

Wale jamaa zetu msitusumbue tena tumemaliza kila kitu yani kila kitu.. Big up kwa mashabiki wa ukweli wa platnumz hakika amejaliwa mashabiki na supporters wa kweli ni mtaji mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom