Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hi si tulianbiwa collabo ya dai na donalddenial INA drop Leo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi si tulianbiwa collabo ya dai na donalddenial INA drop Leo!
Ndio Donald atakuwa katingwa n majukumu maana hata insta mara ya mwisho kapost juma5
Nyi watu Hamna access nini na MTV base? Durban kishanuka huko Best live
Katangaza Vmoney Diamond kachukua ,ndo tuzo ya kwanza kutolewa
Jamani mmelala?
Jamani mmelala?
Jamani mmelala?
Neyo anakuambua " my whole timeline was like diamond diamond diamond" 🙌🙌🙌
Yan neyo kachanganyikiwa gaflaaaa alivyo muona kijana dai