Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

nani atirepost wakati wasanii wenzake wote hashirikiani nao hajawafollow atabeba mzigo wake mwenyewe

Mnafiki ww duh ngoja waje wenzako utasemwa ktk Uzi wenu kule n unavyo waogopa
 
Tanga wajiandae kwa show ya kihistoria nane nane wakiwemo malegends diamond platnumz, juma nature na kasim mganga
 
kuna tweet ya diamond kaandika saa kumi dak 40..kaandika na tarehe..my guess..yaweza kua kapata kid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…