Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

kwenye kupiga kura afrimma awards

ukisha bonyeza vote ukapata ujumbe wa kukushukuru,

chini yake bonyeza RETURN TO POLL kuendelea kupiga kura hadi uambiwe basi. kisha nenda kwenye kipengele kingine fanya hivyo tu bila kuchoka wote tupo pamoja kufurahia tuzo hizi zikija tusherekee vizuri kwa furaha kubwa mioyoni mwetu.

kumbuka uki vote na kuvote hamia kipengele kingine, ususahau kurudia kupiga tena kura baada ya muda vipengele vyote tena.

ooooooh! Kumbeee!
 
Kijana wako machachari amekamata tuzo mbili kutoka Nigeria !
 

Attachments

  • 1438585284094.jpg
    1438585284094.jpg
    74.2 KB · Views: 719
Tunakutakia maisha marefu katika tasnia hii ya Muziki na tunakuonga pia uongeze nguvu katika kuwasaidia wale wenye mahitaji maalum kwakuwa wewe ni kielelezo cha vijana wa Tanzania Afrika Mashariki na kwa Afrika. Tuko pamoja nawe leo,kesho na kwa maisha yote
 
Hongera daiii, yani we kama Lowassaa...hahahaaa wanakuchafua halafu wanahaha kukusafisha.
 
Watu wapo bizee na tembo..
King kiba
 

Attachments

  • 1438600155068.jpg
    1438600155068.jpg
    42.3 KB · Views: 203
Back
Top Bottom