Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyezi mungu amzidishie na walokua hawana mwenyezi mungu awape na wazidi kua na moyo wa subra...
Tuzo nyingine buanaaa....
Haiyaaa hongera zake.Ila Nigeria ni nchi inayoongoza kwa kutoa awards.kama vile ilivo na vyuo vingi pia.
kwenye kupiga kura afrimma awards
ukisha bonyeza vote ukapata ujumbe wa kukushukuru,
chini yake bonyeza RETURN TO POLL kuendelea kupiga kura hadi uambiwe basi. kisha nenda kwenye kipengele kingine fanya hivyo tu bila kuchoka wote tupo pamoja kufurahia tuzo hizi zikija tusherekee vizuri kwa furaha kubwa mioyoni mwetu.
kumbuka uki vote na kuvote hamia kipengele kingine, ususahau kurudia kupiga tena kura baada ya muda vipengele vyote tena.