Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hongera sana tena sana diamond na zari, mungu awabariki, awaongoze katika malezi na kuwafunika na damu ya bwana yesu na princess na kaka zake na wote waliokaribu nanyi.
 
Pale ambapo mtoto wa diamond Hana hata siku moja toka azaliwe na kaingiza mil 50 kwa akaunti. Wakati wewe na mm hatujui tutaingiza lini,unachofanya ni kubaki ukisema ningezipata mm ningezifanyia hiki😂😂😂😂
 
don't forget to vote for the Tanzanian artists on afrimma.
 
Pale ambapo mtoto wa diamond Hana hata siku moja toka azaliwe na kaingiza mil 50 kwa akaunti. Wakati wewe na mm hatujui tutaingiza lini,unachofanya ni kubaki ukisema ningezipata mm ningezifanyia hiki😂😂😂😂

tusisahau kuvote kwa huu mzigo mpya wa tuzo
 
Attachments

  • 1439064550643.jpg
    42.4 KB · Views: 208
Kimbely
Mzigo gani tena huo mkuu? Tupeane link ase
 
Last edited by a moderator:
diamond achaguliwa kuwania tena katika tuzo za aeawards kama best male artist of the year
Cc Chinga One, mzurimie

Ni raha kwa kwenda mbele hadi naona nitazisahau kwa kweli, post #1 inahitaji update tuweze kukumbuka links

Diamond kutamulika tu n akuchaguliwa kuwania tuzo ni ushindi wa mbali sababu wanamuziki ni wengi Africa.

Int. Best African Male Artist - African Entertainment Awards za Canada
Kupigia kura ingia hapa ni link ya kwenda moja kwa moja kwa kategori hiyo

http://aeawards.ca/public/vote.php?category_id=25

Kama unajihisi wewe ni shabiki wa Diamond unayetumia akili na sio matope kufikiri basi tupo pamoja!kama unachembechembe za kinafiki za kufata mkumbo pleeease hatutaki kukuona hapa!!
mzurimie
 
Last edited by a moderator:
Kama unajihisi wewe ni shabiki wa Diamond unayetumia akili na sio matope kufikiri basi tupo pamoja!kama unachembechembe za kinafiki za kufata mkumbo pleeease hatutaki kukuona hapa!!
mzurimie

Mwambie huyooo...aaache upumbavu humu...huku hamna stress..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…