Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

jamani msipotoshane hapa.Bongo Flavour ni mchanganyiko wa taarab,mchiriku and the like includes solo guiters bongos chekechas. huo mziki hauna sound maalumu kama unabisha nenda wikipedia. Nana ni bongo flavour pia. uko right mkuu gney
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo nana na bumbum ni bongo fleva what?? Bongo fleva basi imekwisha nasema nawe jee mdogo mdogo hivi unaijua bongo fleva vizuri lakini?

Kama ni hivyo ata mwana cheketua na kimasomaso sio bongo fleva ama nini!
 
noki noki mpo? 😄

Kumpigia kuta za MTV EMA 2015 ingia


bonyeza bonyeza tuivute tuzo hiyo
[/COLOR]
chibu ndio anazidi kuhaini na kufanya kazi kwa bidii

sasa bila kusahau anaitwa Baba Tiffah

tumetoka mbali na Chibu wetu
 
pichaz
 

Attachments

  • COxFhZ5WsAA9KUi.jpg
    COxFhZ5WsAA9KUi.jpg
    18.8 KB · Views: 103
  • CKDJr35VAAEH3qk.jpg
    CKDJr35VAAEH3qk.jpg
    23.1 KB · Views: 98
  • CO-OIfLWUAA5VWh.jpg
    CO-OIfLWUAA5VWh.jpg
    39.8 KB · Views: 101
Family Man
 

Attachments

  • Diamond-Platn.jpg
    Diamond-Platn.jpg
    5.6 KB · Views: 93
  • 1.png
    1.png
    84.3 KB · Views: 87
  • 10731996_588314154641702_1436640225_n1-300x200.jpg
    10731996_588314154641702_1436640225_n1-300x200.jpg
    5.5 KB · Views: 92
  • Diamond-7.jpg
    Diamond-7.jpg
    52 KB · Views: 134
  • zari-12.jpg
    zari-12.jpg
    22.9 KB · Views: 88
Supa staaaaaaaaaa
 

Attachments

  • CNx9EqKWEAAuBjK.jpg
    CNx9EqKWEAAuBjK.jpg
    45.4 KB · Views: 85
marahaaaaa
 

Attachments

  • 29a1Screenshot_2015-05-01-09-21-45_1.jpg
    29a1Screenshot_2015-05-01-09-21-45_1.jpg
    61.1 KB · Views: 97
  • howwe_276dfb5fe3218612c38ebb0dc42fd6c5_1439377347.jpg
    howwe_276dfb5fe3218612c38ebb0dc42fd6c5_1439377347.jpg
    38.3 KB · Views: 90
  • 10249087_437127579796502_2128877121_n.jpg
    10249087_437127579796502_2128877121_n.jpg
    31.9 KB · Views: 81
  • Dia.jpg
    Dia.jpg
    47.9 KB · Views: 116
Baba Tiffah,

Tifaah na Bibi zake ndani ya State House, Dar.

Furaha kubwaaaaaa, wabarikiwe woteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

Attachments

  • Tiffa2.jpg
    Tiffa2.jpg
    21.6 KB · Views: 102
  • 2.png
    2.png
    131.2 KB · Views: 85
Kazi imenza MTV Europe awards let's get it vote vote 24/7
 

Attachments

  • 1442406532067.jpg
    1442406532067.jpg
    19.6 KB · Views: 95
  • 1442406543659.jpg
    1442406543659.jpg
    19.4 KB · Views: 89
Wera weraaaaaaaa.
namtakia kila la kheri..cc Kimbley
 
Last edited by a moderator:
TUZO TANO(5)

(1) AYCA- Africa youth choice
Kwa kupost picha ya diamond (insta, facebook, au twitter) na kuandika hivi umepiga kura

@ayca_africa #AfricaYouthChoiceAward #AYCA2015
diamondplatnumz
✔Artist of the year
✔Best male artist

Vote pia kwenye website link
NOMINEES | AFRICA YOUTH CHOICE AWARD | I AM MADE IN AFRICA

==
(2) AEA - African entertainment awards USA Link
https://www.surveymonkey.com/s/VOTEAEA2015
Categories za diamond ni
✔Best male artist
✔Best male single
Piga mara nyingi uwezavyo

==
(3) AFRIMA - All africa music awards. Link
Polls
Diamond yupo categories 4
✔Best male artist east africa
✔Artist of the year
✔Song of the year
✔Best African Artist in contemporary

==
(4) AFRIMMA - Africa music magazine awards. Link
Nominees 2015 |
Categories 7
✔Best male east
✔Artist of the year
✔Song of the year
✔Best collaboration
✔Afrimma video of the year
✔best dance video
✔Afrimma inspiration song (àlive)
Piga mara nyingi uwezavyo

==
(5) MTV EMA - Mtv europe music awards. Link
base.mtvema.com/vote
Category ya
✔Best african act
Piga mara nyingi uewezavyo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom