The ‘Number One' hitmaker beat incredible competition from south Africa's AKA, Nigerians: Yemi Alade, Davido, and DJ Arafat from Ivory Coast. His triumph means that Diamond will now go up against the winning act from India to be named Best Africa/India Act.
Sasa jamani akishinda hapo kuna fainali inafanyika oktoba ataenda kukutana na justin bieber, kenrik lamar, taylor swift na wengine wakubwa.
Tukubalini tu jamani huyu dogo japo mnasema hana kipaji dhidi ya hao wengine mi namuona yupo efficient sana ikiwa na maana kile kipaji kidogo alichonacho amejua namna ya kukitumia na kuki market vizuri nje ya mipaka ya nchi yetu. The fact kwamba jamaa hakusoma na mambo ambayo anafanikisha kwa sasa aisee we should all take a bow to him.
Sema tu sasa anachoniboa huyu jamaa ni pale anapotutukania rais wetu lowasa na maneno mengine ya kebehi mimi ndo huwa simuelewi. Ingepaswa menejiment yake ingemshauri aachane na mihemko ya kisiasa maana inaweza kuharibu image yake.
Anyway ila baada ya kupata hizi taarifa maana huwa sifuatilii mambo ya muziki lakini hii habari ya kushinda tuzo ime hit sana. Na imenifanya kwa kweli niingie nimpigie kura aisee. Mi naomba apigiwe kura huyu mtu kwa kweli ni balozi wetu mzuri sana kwa sasa.