Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

The ‘Number One’ hitmaker beat incredible competition from south Africa’s AKA, Nigerians: Yemi Alade, Davido, and DJ Arafat from Ivory Coast. His triumph means that Diamond will now go up against the winning act from India to be named Best Africa/India Act.

Sasa jamani akishinda hapo kuna fainali inafanyika oktoba ataenda kukutana na justin bieber, kenrik lamar, taylor swift na wengine wakubwa.

Tukubalini tu jamani huyu dogo japo mnasema hana kipaji dhidi ya hao wengine mi namuona yupo efficient sana ikiwa na maana kile kipaji kidogo alichonacho amejua namna ya kukitumia na kuki market vizuri nje ya mipaka ya nchi yetu. The fact kwamba jamaa hakusoma na mambo ambayo anafanikisha kwa sasa aisee we should all take a bow to him.

Sema tu sasa anachoniboa huyu jamaa ni pale
anapotutukania rais wetu lowasa na maneno mengine ya kebehi mimi ndo huwa simuelewi. Ingepaswa menejiment yake ingemshauri aachane na mihemko ya kisiasa maana inaweza kuharibu image yake.

Anyway ila baada ya kupata hizi taarifa maana huwa sifuatilii mambo ya muziki lakini hii habari ya kushinda tuzo ime hit sana. Na imenifanya kwa kweli niingie nimpigie kura aisee. Mi naomba apigiwe kura huyu mtu kwa kweli ni balozi wetu mzuri sana kwa sasa.


Hapo kwa red, kinachomsukuma ni ile kanuni yake ya " kazi yoyote yenye maslahi kwangu siachi haijalishi ni nani, chama gani au taasisi gani au kundi au dini gani". Na kama munavyojua hakuna kazi isiyo na mkataba na 1 ya mkataba na masisiem ni yeye kuingiza kejeli,joki pamoja na vijembe kwenye nyimbo zake pa1 na kwenye kurasa zake za mitandao ndo mkataba unatimia na MIHELA ALIYOCHUKUA HUKO NIKIKWAMBIA UTAPINGA HATA UKILETEWA VITABU 500 VYA UDHIBITISHO, labda tuseme angeacha kabisa pesa zao na ni jambo la kipumbavu pia ktk maisha ya sasa kuacha pesa yenye maslai kwako kisa vyama wakati huohuo mashabiki wako wanataka vitu vizuri na vitu vizuri haviji from no where vinatafutwa na hiyo ndo sehemu ya utafutaji
 
teh teh teh

Innocizy


kura zako ni muhimu sana sasa,sahau yalio pita tuweke nguvu pamoja tumnyooshe Mhindi yule
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh
Innocizy


kura zako ni muhimu sana sasa,sahau yalio pita tuweke nguvu pamoja tumnyooshe Mhindi yule

Hivi kipi kimetokea kuhusu priyanka naomba unijuze maana nimeingia insta ndio wimbo...I just love that woman
 
Last edited by a moderator:
Haiwezekani Tanzania The Best Live Act apate Ali Kiba na The Best Africa Live Act apate diamond Platnumz...........
Inamaana Bongo-Tz magumashi mengi,tunapata aibu kwa ajili y@ W@tu wachache.!++!!!!!!.
 
Last edited by a moderator:
Haiwezekani Tanzania The Best Live Act apate Ali Kiba na The Best Africa Live Act apate diamond Platnumz...........
Inamaana Bongo-Tz magumashi mengi,tunapata aibu kwa ajili y@ W@tu wachache.!++!!!!!!.
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahah wapo wengi hata wakina pwilo sema wanavunga tu

Afrika hatujawahi kushinda best world wide act, diàmond anaenda kuweka rekodi
What's wrong with u guy u know I'm not diamond fan so stop to mention my id name in all news that's about her sorry him #kingkiba
 
Last edited by a moderator:
Kuiga wanaigeria sio tatizo, ilimradi watu walete burudani......

Mleta post jiulize we mwenyewe vingapi umeiga upto now?
Kazi tu kuanzisha miuzi ambayo ni useless..

Typical of a confused fellow!
 
wadau kmya hiki ooho! mhindi tumnyooshe.
nategemea ukawa niushindi na diamond platnumz ni the winner.taree 25/10/2015.
vote for chifu dangote.
 
Last edited by a moderator:
Toka niwe shabik wa dangote kwakweli maisha yangu yamekuwa ya furahaa na amani telee....cjawahi jutia kupoteza bando langu kwa kuvote kwa kila tunzo alizowahi chaguliwa...cjui ndo nnabahati hata cjui...na hii aliyopangwa na chopra najua ipo nyumbani tuu maan nlishaanza kuvote since day 1...hakika mungu yupo upande wangu
 
Back
Top Bottom