kumbe wanapanda wote jukwaa moja?!daah mtakula bata sana aiseeWizkid nae atakuwepo usiku huu, usikose kuja kupata uondo wa King wa wanamuziki wa nchini kwetu.
View attachment 303606
kumbe wanapanda wote jukwaa moja?!daah mtakula bata sana aisee
Hongera zenu aisee!natamani ngekuwepoNatamani nimuone mfalme wa afro pop...
kumbe wanapanda wote jukwaa moja?!daah mtakula bata sana aisee
Naoma Diamond kakosa tunzo ya AEAUSA
Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz wamechukua moja moja
Naoma Diamond kakosa tunzo ya AEAUSA
Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz wamechukua moja moja
Hongera zenu aisee!natamani ngekuwepo
Hivi we dada mbona unakusudi hivyo? Ulikuwa wapi kitambo kidogo, au kampeni? Nilikumiss sana.
Nipo my,nilikua nawapepea kina Evelynsalt kule siasani!Chinga one muasisi wa hii thread yuko hoi na matokeo tuendelee kumuombea
ahahahahaaa!!nisamehe banah tumeshatoka kule siasani sirudi tenaaaaa!!Hahahaaa kuna siku nilikuona siasani nikakumind kimya kimya.
ahahahahaaa!!nisamehe banah tumeshatoka kule siasani sirudi tenaaaaa!!
kama kawaida yetuuuuuuuHaya karibu tena kwenye timu minyoosho. Ushindi kwetu mazoea.