Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Watu wengi hawajui kwa kuwa wanafuata mkumbo kwa kuwa tu hawampendi DIAMOND ila ukweli ni kwamba Ali anajisikia sana na anadharau hata kwa watu wake wa karibu.

Icho ndicho amabacho watu wengi hawajui kuhusu kibakuli me nishawahi kukaa nae karibu naijua ako katabia chake
 
Hivi kutomkubali mtu nako ni kuwa hater?!
Kiswahili kigumu, lugha ya malkia nayo ndo vile ilishanipiga chenga
Kutokumkubali mtu akuhusiani na kuongelea mambo ya mtoto kama ni wake au la ila utaongelea kwa kile ambacho ukikubali kutoka kwake ambao ni muziki wake ( niliposema haters wake nilimaanisha wale wanaopenda kuongelea mambo yake binafsi na si muziki wake inaonyesha na wewe ni mmoja wao na kama sio basi unakihehere na visivyokuhusu)
 
Baba mmoja ila mama tofautii lakini queen na Ali kiba pia ni mabinamu na hii niliisikia katika mahojiano ya miaka ile ambayo queen na Ali walikuwa wakiiva sana...sasa napata kigugumizi kusema kuwa diamond na Ali ni ndugu

True that
 

Heheh eti kiherehere.
Haya asante kwa ufafanuzi
 
Diamond na queen wameshare baba
Diamond na esma wameshare mama
 
Hata huyo unayemsifia siku hz ndo kazd kuiga hao wanaijeria
 
Kirikuuuu? Yaani Miaka yote kwenye game queen darlin kashindwa kununua hata hako ka baby walker aka kirikuuuu?

Nakuuliza je mtu akipewa zawadi ya ch*pi inamaanisha hajawahi kununua au kuvaa kabla?

Pia kuna gari na gari.
 
ni kweli hawamjui kiba ni anadharay sana na nintu ya kujisikia sana ila daimond mtu mwenye huruma sana na anaelewa shida na wengi kawasaidia sems dai huwa anaongea sana kibazarau fulan
 
Baba mmoja ila mama tofautii lakini queen na Ali kiba pia ni mabinamu na hii niliisikia katika mahojiano ya miaka ile ambayo queen na Ali walikuwa wakiiva sana...sasa napata kigugumizi kusema kuwa diamond na Ali ni ndugu

mtu na shemejie
 
Wanahusiana vp hawa raia. ?

Iko hivi diamond na queen wameshare baba mmoja lkn mama tofauti,vile vile baba yao i mean baba wa diamond na queen pia alishawahi kuwa na uhusiano na mama yake mdogo na Ali kiba,ndio maana zaman sana kabla ya bifu la diamond na Kiba ,Queen alikuwa yuko karibu sana na Kiba na Mara kadhaa alikuwa akihojiwa anasema Kiba ni kaka yake.so mzee Nassib ndiye staring.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…