Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

wosaaaaa..

Kwenye calendar yangu hapa inanionyesha kwenye tar 27 hivii mzigo mpya utakuwa kwa fas ya hewa..
 
Me nshahama team diamond. Maana kwenye music tushamaliza. Labda ntaanza mshabikia tena Kama ataingiza au kufanya kingine..huku ni kama ashamaliza masters halafu karudia chekechea kuanza kusoma a e i o u😂😂😂😂
 


from diamondplatnumz - One for my Mother Sandra, one for my Beautiful baby Zarithebosslady and one for my one and Only beautiful daughter! Princess_tiffah ... Bt all these awards are belongs to my Fans because without your Votes i wouldn't have made it, at all!!!...Many thanks and Respect to my Producer @tuddthomas mama Hadija Kopa, my fellow Artists and Media for major Support🙏 and @afrimawards For recognizing my effort🙏 #BongoflavourTotheWorld #AfrimaAwards 👌
BEST AFRICAN ARTIST OF THE YEAR
BEST SONG OF THE YEAR
BEST MALE EASTERN OF THE YEAR
 
Diamond huko ulipo SA mji fulani najua unapika vitu haswaaaaaa
 
Diamond kaingia tena kwenye orodha tukufu hapa JF ya "watu 10 ambao Tanzania inapaswa kujivunia".. nampongeza sana.
 
from @wcb_wasafi - Diamond Platnumz ametajwa kwenye orodha
ya
kila mwaka ya jarida la New Africa lenye
makao
yake jijini London, Uingereza ya Waafrika
100
wenye ushawishi zaidi mwaka 2015
Orodha hiyo hujumuisha Waafrika
waliofanya
mambo makubwa kwenye sekta nane
zikiwemo
Siasa (22); Public Office (4); Sanaa na
Utamaduni (21); Biashara (21); Civil Society
(11);
Technology (9); Media (7); and Sports (5).
Nigeria na Afrika Kusini imetawala orodha
hiyo
kwa kuwa na watu 20 na 16. Kenya, Uganda
na
Cameroon zina watui sita kila moja
Viongozi waliomo kwenye orodha hiyo ni
pamoja
na rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na
aliyemrithi Dr Goodluck Jonathan, Ellen
Johnson
Sirleaf wa Liberia, Alpha Conde wa Guinea
na
Ernest Bai Koroma wa Sierra Leone.
Pamoja na Diamond, mastaa wengine
waliomo ni
pamoja na Akon, Lupita Nyong?o, Trevor
Noah na
d Linda Ikeji
Kuhusu Diamond, jarida hilo limeandika
Winner of the 2015 MTV Africa Music Award
for
Best Live Act, as well as Best African Live
Act at
the 2015 European Music Awards (EMAs),
Diamond
Platnumz is undoubtedly on of the
continent?s
biggest mussicians having made a
tremendoud
impact on the industry both local and global
with
hits such as ?Number one? which featured
the
talented Nigerian Davido and garnered him
a huge
following on social media this Tanzanian
artist?s
influence is most palpable amoungst the
African
youth and through the conversations they
about
him online. Tanzania did not just gain a new
President in 2015 but ana international
superstar
making his country proud as well.
 
Mondi wewe ni noma, babu umemkalisha chini hadi jukwaani kwao wapo kimyaa kama wamefungwa bao sawa na wiki.
 
NO ONE LIKE DIAMOND PLATNUMZ IN TANZANIA OTHERS ARE MA-DANCERS OF WASAFI
Wakuu hivi Tuzo za KORA-AFRIKA MUZIK AWARDED WASHAANZA KUFUNGUA TUWAPIGIE KURA WASANII KATIKA CATEGORIES MBALI MBALIMBALI?
 
Ila kiukweli sioni msanii wa kufanya diamond asibebe tuzo mbili kora kuanzia impact, success, buzz, itangibles, personality, na support kubwa ya mashabiki anakimbiza, davido akae mbaaaali sana..!

Bilioni mbili lazima itue bongo..!
 
NO ONE LIKE DIAMOND PLATNUMZ IN TANZANIA OTHERS ARE MA-DANCERS OF WASAFI
Wakuu hivi Tuzo za KORA-AFRIKA MUZIK AWARDED WASHAANZA KUFUNGUA TUWAPIGIE KURA WASANII KATIKA CATEGORIES MBALI MBALIMBALI?

bado mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…