Huyu jamaa nomaa Hii ni sauti ya Almasi kwa binadamu sio Raisi,Na Kamwambie lazima ujue kutofautisha Bongoflavor ya sasa na ya kale.DIAMOND PLATNUMZ NI BONGE LA SUPERSTAR.
Kabla ya masaa 24 video imeshaangaliwa zaidi ya mara laki mbili mtu mbaaaaya sana huyu, hapo amevunjilia mbaaali record ya nana iliyopata views 175,000 ndani ya saa 24.. Mwenye bongo fleva yake
QUOTE=Kidingi;14847684]Kabla ya masaa 24 video imeshaangaliwa zaidi ya mara laki mbili mtu mbaaaaya sana huyu, hapo amevunjilia mbaaali record ya nana iliyopata views 175,000 ndani ya saa 24.. Mwenye bongo fleva yake
Ooh bado nawaza sana
zile tuzo mashauzi airport
Je ntapofika tama,
utadiriki ata japo kunipost,
pindi show zimekwama ,
na nikipata sijazi ni mikosi,
oh jahazi limezama,
mola ninusuru baba,....