Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DIAMOND PLATNUMZ Achaguliwa kwenye tuzo za tooXclusive Awards 2015 VOTE.Kipengele cha AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR.
Bonyeza hapa.
Piga Kura sasa!
CLICK HERE
Jamani Diamond ana nyota ya Giza kamgusa tu dokta mwaka matatizo kibao sumbai, namwonea huruma Mwaka.
Jamani Diamond ana nyota ya Giza kamgusa tu dokta mwaka matatizo kibao sumbai, namwonea huruma Mwaka.
Tazto ni dr alitaka kwenda international kwa kupitia Diamond Plutnumz wakat bdo yy ni local ndio kumemponza. Diamond kasaidia kumchoma vzr dr tak a point.. bila diamond mwaka angeendelea kula pesa za watu
Diamond kamchonaje Dr Mwaka wakati kuna chokochoko zilikuwa zimekwishaanza kwenye social media ????
We knw Mange ndio kaleta chokochoko zote hizi. Lakini baada ya nn? C lile tangazo
Umemena ni tangazo hilo la kwenye mwimbo huo, akakunika haswa na wivu.

Je Utanipenda??