Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Kwenye category ya #AfricanArtist ambayo alowania D.Platanzania na wenzake akina AKA,Cosper Nyovest,Uhuru na Sarkodie.Hatimaye Wasafi kanyinyakulia TheWinner.Japokuwa walizichelewesha kutangaza tarehe 30disemba2015 afu zeni wakasogeza siku na kutangazwa tarehe 1January2016.Kumbuka kwamba katika kategoriz zote zilitangazwa washindi,isipokuwa kategori alokuwa £Simba azikutangazwa mapema sikujua sababu in nini.Yote Tisa la kumi #TheWinner is DIAMOND P.
#Make Bongoflavor Safe Again and Great Again-Diamond P.
#TeamWasafi all the way.
 
from @diamondplatnumz - Wow!!! Thanks alot for the Big Love and Support my People.... T898 DFV wadau mkiliona msiache kupanda!!! Na sio tu ilo kuna bodaBoda na Bajaj nyingi ambazo zina Logo na nembo yoyote ya @wcb_wasafi tafadhali tusiache kuzisupport kwa kupanda ama kukodisha pindi tunapoziitaji ki Usafiri... #Regrann

diamondplatnumz-1452031241648.jpg
 
from @diamondplatnumz - Wow!!! Thanks alot for the Big Love and Support my People.... T898 DFV wadau mkiliona msiache kupanda!!! Na sio tu ilo kuna bodaBoda na Bajaj nyingi ambazo zina Logo na nembo yoyote ya @wcb_wasafi tafadhali tusiache kuzisupport kwa kupanda ama kukodisha pindi tunapoziitaji ki Usafiri... #Regrann

View attachment 315068

Nooma sana..

Full mahaba
 
Diamond The Professional amechaguliwa kwenye Tuzo za #Maya awards-2016 Kwenye category ya @AfrcanArtistAct(Mtumbuizaji Bora Barani Afrika).Upigaji ushaanza Tembelea hapa kupiga #Kura.
BONYEZA HAPA
 
Back
Top Bottom