hello brotherNajisikia vibaya sana mnapoingiza upuuzi kwenye wimbo wa Dunia.. Hiyo lupela ndio nini mpaka wimbo wa dunia uizime, wimbo hata haujahit unazimwa vipi?
#MakeMeSing bonge moja la joint, kama naiona Afrika ilivyo himaya ya WCB
sawaHabar zenu wana jamvi nimeona nianzishe uzi huu maalum kwa wapenzi wa diamond platnum au chibu dangote ukipenda unaweza ukamwita Simba
Uzi huu tutakua tunajuzana kuhusu huyu mwanamuziki wetu pamoja na WCB ki ujumla
Wote mnakaribishwa kuchangia hata wale ma haters pia mnakaribishwa
View attachment 391864.
**Karibuni**
kwa nini??No need of this thread.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Huu ni zaid ya ushetan
nilijua tu ma haters hamkosi, ila usijali kuwa huru unakaribishwaNo need of this thread.