Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Habari zenu wakuu!

Nataka kwenda kwenye show ya diamond Oslo natafuta mwenyeji. Asanteni
 
Najisikia vibaya sana mnapoingiza upuuzi kwenye wimbo wa Dunia.. Hiyo lupela ndio nini mpaka wimbo wa dunia uizime, wimbo hata haujahit unazimwa vipi?

#MakeMeSing bonge moja la joint, kama naiona Afrika ilivyo himaya ya WCB
hello brother
 
diamondplatnumz-1471039097701.jpg


Mwimbo wa Diamomd aka baba Tiffah aka mume wa Zari ...waingia kwa chati ya redio Uingereza.

Hongera Simba.
 
Furahieni wa nchini kwetu, kumpigia mtanzania mwenzetu Diamond Platnumz aka Chibu kura ya tuzo za aina 3.

Afrimma Awards link hii zipo 4


princess_tiffah_party_photoz-1469653120572-jpg.372701


Nominees 2016 | AFRIMMA

*********

AEA USA AWARDS zipo 5

View attachment 372193

princess_tiffah_party_photoz-1469653136414-jpg.372702

www.aeausa.net/vote

Utakutana na maelezo haya chini...nimewekauyasome mapema ukiingia unajimwaga tu...

" Voting Instruction: Please select at least 3 voting categories then login with your facebook or email in order to cast the vote. Anonymous data collection is only for the voting authentication purposes. For more information please contact us."

************

Uganda Entertainment Awards zipo 2

princess_tiffah_party_photoz-1469653151459-jpg.372703


http://ugandaentertainmentawards.com

**********
Piga kura kwa kurudia kama inaruhusu hata kila siku, usichelewe tufurahie wote muimbaji wa nchi yetu.

Ni mie nimpendae ❤
 
Diamond na mkewe Zari wanategemea mtoto wa pili mwaka huu.

Wazidi kubarikiwa
 
Habar zenu wana jamvi nimeona nianzishe uzi huu maalum kwa wapenzi wa diamond platnum au chibu dangote ukipenda unaweza ukamwita Simba

Uzi huu tutakua tunajuzana kuhusu huyu mwanamuziki wetu pamoja na WCB ki ujumla

Wote mnakaribishwa kuchangia hata wale ma haters pia mnakaribishwa

1472754386282.png
.
**Karibuni**
 
Diamond platnum amesema anataka afungue mtandao wake unaoitwa afro box ambapo watu wataweza kuangalia video zake exclusive kabla hazijatoka kwa gharama chache
 
Back
Top Bottom