Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Nimeona vipande vya wimbo mpya wa Diamond na Neyo.... Unatarajiwa kuachiwa lini??
 
Hili ni wazo la jogi nimeamua kulifanyia kazi
Ni kweli kabisa kumekuwa na nyuzi nyingi kumhusu Diamond, na cha kusikitisha zaidi hakuna uzi mmoja maalum kwa ajili yake star huyu aliyetutoa kimasomaso kwa kuitangaza nchi yetu kimataifa kupitia fani ya music maarufu kama bongo fleva
Akianzia na wimbo wake Tatizo kwetu mbagala ameendelea kufanya vema na kupata mafanikio mengi ndani na nje ya nchi
Kama tuna uzi maalum wa mzee Majuto kwenye fani ya vichekesho ni vema tukawa na huu kwa Diamond
CC: Moderator Invisible
 
Diamond ni jembe sana...waache kumfananisha na Kiba..
 
Hapana mwasu Mond kwasasa ni level nyingine kwenye nyanja zote
-uwekezaji
-cash
-utunzi
-umaarufu
- Kipaji nk
Kabisa ila kumbuka wabongo zetu fitina maana hata uwekezaji wake bado baadhi ya watu wanaukosoa kuwa ni kidogo kulingana na pesa anayovuna, huoni watu wanavyotoka povu?!
 
Hapana mwasu Mond kwasasa ni level nyingine kwenye nyanja zote
-uwekezaji
-cash
-utunzi
-umaarufu
- Kipaji nk
Aaah kweli maana juzi kasherehekea birthday akiwa uchi, naona anatuwakilisha vyema sana, huwa sijilaumu kuichukia hii nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…