mousthustle
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 314
- 197
Simba......mziki unalipa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Macho kuvimba wanaisoma!![emoji102]Huu ni zaid ya ushetan
Kabisa ila kumbuka wabongo zetu fitina maana hata uwekezaji wake bado baadhi ya watu wanaukosoa kuwa ni kidogo kulingana na pesa anayovuna, huoni watu wanavyotoka povu?!Hapana mwasu Mond kwasasa ni level nyingine kwenye nyanja zote
-uwekezaji
-cash
-utunzi
-umaarufu
- Kipaji nk
Aaah kweli maana juzi kasherehekea birthday akiwa uchi, naona anatuwakilisha vyema sana, huwa sijilaumu kuichukia hii nchiHapana mwasu Mond kwasasa ni level nyingine kwenye nyanja zote
-uwekezaji
-cash
-utunzi
-umaarufu
- Kipaji nk
Asante ila nimejaribu kuangalia hapa nikaikosa ndio maana nikawekaMods kina invisible hii thread IPO ihamishieni kwenye thread ile ya za Nani